Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

Kukua Kwa social network na kuongezeka Kwa watumiaji wa smartphone ndo kumeiua amplifaya mana vtu vingi jamaa ana Google , sasa watu wanavipata fasta tuu bila kumsubir yeye tofaut na zaman, kama website yake ndo kabisaaa .... Ni kama zaman watu wakisikia Nyerere anahutubia wote wanajikusanya kwenye redio ya kijiji ...na walimwaminia kuwa anajua vitu vingi kumbe jamaa naye alikuwa na access ya news from abroad af anakuja kuwaringishia wabongo
biashara ya Blog kwa sasa haina soko ki hivo japo kwa wenzetu bado iko vizuri, TMZ na zinginezo zinafanya poa,
Millard sio access ya Habari tu, Access anayo ya Habari zingine Exclusive kwa sababu ana ripota, Shida ni kuwa Kipindi hakina creativity yaani tangu kimeanza mpaka sasa + co host alienae ni shida tupu
 
Duh unategemea nikiwa nasikiliza redio nikariri kila anachoongea?! Huwa namsikiliza tu akichemka linapita sikio hili linatokea sikio lingine.
Duuu mkuu double rr umeuwa Sanaa mzee siyo lazima kukalili huwa anaongea mambo asiyo na professional nayo kabisa kifupi yule jamaa Ni akili dogo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama jamaa zangu huk kanda ya titi wao na radio n ka radi na mvua,kuna jamaa angu nlimtimbia geto bila taarifa,cha ajabu nlikuta kafungulia jembe fm kweny sabwoofer then akawa na kicm cha tecno kaweka sikion,yan ile kabla cjaanza mcheka ilibid aanze kujicheka mwenyew.
 
Kama jamaa zangu huk kanda ya titi wao na radio n ka radi na mvua,kuna jamaa angu nlimtimbia geto bila taarifa,cha ajabu nlikuta kafungulia jembe fm kweny sabwoofer then akawa na kicm cha tecno kaweka sikion,yan ile kabla cjaanza mcheka ilibid aanze kujicheka mwenyew.
Hhahahaha....dahhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio kusikiliza radio Bali u nasikiliza nini?
Vipindi vya sasa hivi na watangazaji wake wamekuwa watu wa utani mwingi na mzaha mpaka wanaboa.
Leo hii wachekeshaji ndio WATANGAZAJI.
Wabongo wanajua kujifanya wako advanced eti hawasikilizi redio wakati habari wanazo. Watanzania bwana nayeuliza hivyo kama kapata muda wa kucomment kwenye post yako anakosaje muda wa kusikiliza redio ambayo unaiwasha tu halafu unaendelea na mambo yako.

Yani ni rahisi kusikiliza redio kuliko kucomment JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom