mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,753
- Thread starter
-
- #101
biashara ya Blog kwa sasa haina soko ki hivo japo kwa wenzetu bado iko vizuri, TMZ na zinginezo zinafanya poa,Kukua Kwa social network na kuongezeka Kwa watumiaji wa smartphone ndo kumeiua amplifaya mana vtu vingi jamaa ana Google , sasa watu wanavipata fasta tuu bila kumsubir yeye tofaut na zaman, kama website yake ndo kabisaaa .... Ni kama zaman watu wakisikia Nyerere anahutubia wote wanajikusanya kwenye redio ya kijiji ...na walimwaminia kuwa anajua vitu vingi kumbe jamaa naye alikuwa na access ya news from abroad af anakuja kuwaringishia wabongo
Millard sio access ya Habari tu, Access anayo ya Habari zingine Exclusive kwa sababu ana ripota, Shida ni kuwa Kipindi hakina creativity yaani tangu kimeanza mpaka sasa + co host alienae ni shida tupu