Fredwaa wa Clouds Fm yuko wapi?

Si huwa mnasema hamsikilizi Clouds ?

Mibongo minafiki mpaka hata shetani anashangaa
hivi watanzania wote zaidi ya milioni 45 wamesema hawasikilizi clouds? basi hiyo redio ingefungwa!!!
achezi upuuzi wa ku generelize bwana huwezi kuita watanzania wote wanafiki eti kisa watu milioni moja ( mathalani) wamesema hawasikilizi clouds.
kwa akili ya kuzaliwa tu ulipaswa ujue kwamba mtoa wa mada si mmoja wa wasiosikiliza clouds......
 
Kweli nami nimestuka leo amepewa likizo ndefu nini siku zote 28 au? Maana nadhani ni week ya tatu..sasaa!!!
 
Wee mnyira umevurugwa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…