OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Hii timu huwa inanishangaza sana. Jana Fredy Michael kawa mfungaji bora wa Ligi kuu Zambia licha ya kutokuwepo huko kwa miezi kadhaa.
Saido mwaka jaba aliibuka mfungaji bora NBC PL akagawana zawadi na Mayele. Msimu huu ndiye kinara wa magoli Simba SC.
Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki
Ila sasa wenye timu yao wanakwambia hao wote ni magarasa.
Hii timu inashida gani?