Hii timu huwa inanishangaza sana,
Jana Fredy Michael kawa mfungaji bora wa Ligi kuu Zambia licha ya kutokuwepo huko kwa miezi kadhaa,
Saido mwaka jaba aliibuka mfungaji bora NBC PL akagawana zawadi na Mayele
Msimu huu ndiye kinara wa magoli Simba SC,
Ila sasa wenye timu yao wanakwambia hao wote ni magarasa.
Hii timu inashida gani?