Free Bob Wine

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa

Free bob wine ni neno fupi lakin lenye maana kubwa sana kwa wasio mjua bob wine ni msanii wa kizazi kipya kutoka uganda msanii huyo ambaye pia ni mbunge wa huko uganda

Majeshi ya dikteta, mafioso mseven yamemkata yakamweka nyuma ya nondo kwa mda mrefu sasa kabla ya kumweka nyuma ya nondo inasadikika msanii huyo alipigwa vibaya had kuvunjwa mbavu kitu kilichopelekea kuharibika kwa figo yake

Kwa sasa msanii mwenzetu yuko jela huku akiwa mgonjwa mahututi

Msanii huyu ni moja ya wanasiasa vijana wanaoinga dikteta mseven kusalia madarakan

Free bob wine

London boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliona waraka alio andika mkewe kuhusu mumewe. It is too sad that a human being can torture his fellow to that extent.

Mungu ampe ujasiri na nguvu ya kuvuka anapopita Leo.

Ugandan forum wameeleza kwa undani hbr zake
 
"E="gfsonwin, post: 28031657, member: 80923"]Niliona waraka alio andika mkewe kuhusu mumewe. It is too sad that a human being can torture his fellow to that extent.

Mungu ampe ujasiri na nguvu ya kuvuka anapopita Leo.

Ugandan forum wameeleza kwa undani hbr zake[/QUOTE]
"kama yupo" basi sio huyu ambaye tunaaminishwa kwenye vitabu kuwa nimsikivu na huwa anajibu maombi ya watu". ...wakati tunaona kabisa" ameamua kuwaacha watu wengine wawe waamuzi wa hatima ya maisha ya watu wengine
 
Jamani kweli binadamu ni zaidi ya mnyama. Huwezi kumtesa mtu kiasi hicho unapiga kama kuni hujui ndani kuna organs kama zako na ni very delicate. Haya sasa wameua figo zake kweli unapiga hivyo mwenzio kisa ww ni polisi au? Malipo ni hapa hapa duniani
 
"E="gfsonwin, post: 28031944, member: 80923"][/QUOTE]
"hujaelewa hata nilichokiongea"kapitie upya Ile comment yangu mkuu then ndio unijibu
 
Jamani kweli binadamu ni zaidi ya mnyama. Huwezi kumtesa mtu kiasi hicho unapiga kama kuni hujui ndani kuna organs kama zako na ni very delicate. Haya sasa wameua figo zake kweli unapiga hivyo mwenzio kisa ww ni polisi au? Malipo ni hapa hapa duniani
Naichukia sana hii ya malipo hapa hapa alafu still u can't do anything,inauma sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kweli binadamu ni zaidi ya mnyama. Huwezi kumtesa mtu kiasi hicho unapiga kama kuni hujui ndani kuna organs kama zako na ni very delicate. Haya sasa wameua figo zake kweli unapiga hivyo mwenzio kisa ww ni polisi au? Malipo ni hapa hapa duniani
Mungu yupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"E="gfsonwin, post: 28031944, member: 80923"]
"hujaelewa hata nilichokiongea"kapitie upya Ile comment yangu mkuu then ndio unijibu[/QUOTE]
Nadhan hujanielewa. Ww umesema kama yupo basi sio huyu tunayeaminishwa kuwa yupo. Ambaye ana acha wengine waamue hatma ya maisha ya watu wengine. Ndio mm nimekujibu kuwa yupo na anaona na anajua kwann ameruhusu hili litokee
 
Nilivyoona jinsi alichofanya bungeni kipindi kile wanapigana nikajua tu kijana yuko hatarini, viongozi wa Afrika hawapendi watu wa namna ile wanaoweza kuwapinga kwa ujasiri mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Free yourself from economic jail
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…