Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa
Free bob wine ni neno fupi lakin lenye maana kubwa sana kwa wasio mjua bob wine ni msanii wa kizazi kipya kutoka uganda msanii huyo ambaye pia ni mbunge wa huko uganda
Majeshi ya dikteta, mafioso mseven yamemkata yakamweka nyuma ya nondo kwa mda mrefu sasa kabla ya kumweka nyuma ya nondo inasadikika msanii huyo alipigwa vibaya had kuvunjwa mbavu kitu kilichopelekea kuharibika kwa figo yake
Kwa sasa msanii mwenzetu yuko jela huku akiwa mgonjwa mahututi
Msanii huyu ni moja ya wanasiasa vijana wanaoinga dikteta mseven kusalia madarakan
Free bob wine
London boy
Sent using Jamii Forums mobile app