Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Ahaaa anapewa matibabu akiwa mahabusu ?Kuna rumours kwamba anepelekwa nje ya Uganda kwa matibabu;kuna maDr walimuona akiwa mahabusu pia!Wanahaha kuokoa maisha yake wanajua kifo chake kinaweza kuwasha moto mkubwa UG
Sent using Jamii Forums mobile app
🙁 sasa tutafanyaje mkuuNaichukia sana hii ya malipo hapa hapa alafu still u can't do anything,inauma sana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili hata haikai sawa,ila tujue sisi pia ni wahanga wa yote hayo🙁 sasa tutafanyaje mkuu
yupo eeehNina hasira sana, muda mwingine huwa najiuliza mungu yupo kweli ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushamba na ujinga,Nyerere alikuwa Mwalimu,Magufuli Mwalimu,Bashiru Mwalimu,Bashite mvuvi wa samaki,Slaa Padri,Lissu Mwanasheria haya unaongea nini...Tatizo linaanza pale ambapo mtu anaacha shughuli yake aliyoizoea ya muziki na kuvamia shughuli nyingine ya siasa. Angebaki kwenye muziki tuu..I feel sorry for him ila jamaa alichemsha sana kujiingiza kwenye siasa. Alitakiwa ausome mchezo.
Sawa dada Upendo..mie mshamba.Acha ushamba na ujinga,Nyerere alikuwa Mwalimu,Magufuli Mwalimu,Bashiru Mwalimu,Bashite mvuvi wa samaki,Slaa Padri,Lissu Mwanasheria haya unaongea nini...
Siasa ni maisha na maisha ni siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akifa itakuwa ndio mwisho wa M7Kuna rumours kwamba anepelekwa nje ya Uganda kwa matibabu;kuna maDr walimuona akiwa mahabusu pia!Wanahaha kuokoa maisha yake wanajua kifo chake kinaweza kuwasha moto mkubwa UG
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwetu yupo mhutu mwenye roho mbaya ya kumwogopa munguNilivyoona jinsi alichofanya bungeni kipindi kile wanapigana nikajua tu kijana yuko hatarini, viongozi wa Afrika hawapendi watu wa namna ile wanaoweza kuwapinga kwa ujasiri mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwetu yupo mwenye roho mbaya kutwa yuko kanisani tumuone malaikaHilo tukio ni la kutisha sisi waafrika ni watu waajabu sana
wanatengeneza laana kwa vizazi vyaoJamani kweli binadamu ni zaidi ya mnyama. Huwezi kumtesa mtu kiasi hicho unapiga kama kuni hujui ndani kuna organs kama zako na ni very delicate. Haya sasa wameua figo zake kweli unapiga hivyo mwenzio kisa ww ni polisi au? Malipo ni hapa hapa duniani
Unamaanisha hata kina prof j, sugu, Jaguar, jokate n.k wamekosea?Tatizo linaanza pale ambapo mtu anaacha shughuli yake aliyoizoea ya muziki na kuvamia shughuli nyingine ya siasa. Angebaki kwenye muziki tuu..I feel sorry for him ila jamaa alichemsha sana kujiingiza kwenye siasa. Alitakiwa ausome mchezo.
Mimi sio dada wewe bwabwa.Sawa dada Upendo..mie mshamba.
Sawa lakin jamii haitakiwi kumtegemea Mungu afanye miujiza wakati mambo hayo mnaweza kuyamaluza kwa mikono yenu wenyewe. You have to do somethingJamani kweli binadamu ni zaidi ya mnyama. Huwezi kumtesa mtu kiasi hicho unapiga kama kuni hujui ndani kuna organs kama zako na ni very delicate. Haya sasa wameua figo zake kweli unapiga hivyo mwenzio kisa ww ni polisi au? Malipo ni hapa hapa duniani