Free Bob Wine

Free Bob Wine

Tatizo linaanza pale ambapo mtu anaacha shughuli yake aliyoizoea ya muziki na kuvamia shughuli nyingine ya siasa. Angebaki kwenye muziki tuu..I feel sorry for him ila jamaa alichemsha sana kujiingiza kwenye siasa. Alitakiwa ausome mchezo.
 
Acha ushamba na ujinga,Nyerere alikuwa Mwalimu,Magufuli Mwalimu,Bashiru Mwalimu,Bashite mvuvi wa samaki,Slaa Padri,Lissu Mwanasheria haya unaongea nini...
Siasa ni maisha na maisha ni siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa amakamatwa kwa mashitaka yapi?
 
Kuna upepo unazunguka wa hovyo sana.

Comoro pia wanalia masuala kama hayo, chama pinzani watu zaidi 50 wamepotezwa na miili haionekani.

Sasa hivi baba wa taifa yuko “house arrest”.
 
Jamani kweli binadamu ni zaidi ya mnyama. Huwezi kumtesa mtu kiasi hicho unapiga kama kuni hujui ndani kuna organs kama zako na ni very delicate. Haya sasa wameua figo zake kweli unapiga hivyo mwenzio kisa ww ni polisi au? Malipo ni hapa hapa duniani
wanatengeneza laana kwa vizazi vyao
 
Tatizo linaanza pale ambapo mtu anaacha shughuli yake aliyoizoea ya muziki na kuvamia shughuli nyingine ya siasa. Angebaki kwenye muziki tuu..I feel sorry for him ila jamaa alichemsha sana kujiingiza kwenye siasa. Alitakiwa ausome mchezo.
Unamaanisha hata kina prof j, sugu, Jaguar, jokate n.k wamekosea?
 
Jamani kweli binadamu ni zaidi ya mnyama. Huwezi kumtesa mtu kiasi hicho unapiga kama kuni hujui ndani kuna organs kama zako na ni very delicate. Haya sasa wameua figo zake kweli unapiga hivyo mwenzio kisa ww ni polisi au? Malipo ni hapa hapa duniani
Sawa lakin jamii haitakiwi kumtegemea Mungu afanye miujiza wakati mambo hayo mnaweza kuyamaluza kwa mikono yenu wenyewe. You have to do something

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom