Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Ume download na packet tracer?Nimeingia humo baada ya kutengeneza akauti, hii course ya networking, yaani wanaanzia mwanzo kabisa ili kwa mtu asiyejua chochote kuhusu IT anajifunza tokea mwanzo kabisa