free internet :GURU INTERNET TUNNEL KWA KILA MEMBER WA JAMII FORUMS............

free internet :GURU INTERNET TUNNEL KWA KILA MEMBER WA JAMII FORUMS............

Paje

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2010
Posts
1,185
Reaction score
486
Baada ya jamaa wa GURU TUnnel kuweza kuweka mahusiano mazuri na www.facebook.com sasa ni rahisi kwa mimi kuwapatia member wa JF a good and cheap way of browsing internet. bila ya kohofia kublockiwa na FESIBUKU. bila ya kujali ni wa zamani au wa sasa. nachukua nafasi hii kuwaambia kila anayetaka unlimited internet ani PM.

Internet hii unaweza kuitumia kwa kudownload kwa speed kubwa kulikoni.......
angalia screen shot hapa chini. ukitaka download kikawaida ukitaka download kwa torrent,........

tunnelguruu.png

na kama utaweza kutumia modem mbili kwa msaada wa program iitwayo connectify dispatch basi speed yake itakuwa kama uonavyo hapa chini.........

View attachment 76804
 
Bwana Page, initial cost ni pesa ngapi? na tariffs zinakwendaje. 8MBps will do me just fine.
 
Baada ya jamaa wa GURU TUnnel kuweza kufanya mambo fulani ambayo yananiwezesha kumpatia kila member wa JF a good and cheap way of browsing internet. bila ya kohofia kublockiwa , no blocking is possible for what i give you. bila ya kujali ni wa zamani au wa sasa. nachukua nafasi hii kuwaambia kila anayetaka unlimited internet ani PM.

Internet hii unaweza kuitumia kwa kudownload kwa speed kubwa kulikoni.......
angalia screen shot hapa chini. ukitaka download kikawaida ukitaka download kwa torrent,........

View attachment 76803 with 2 modems View attachment 76804

mkuu mbona hutokezei kujibu maswali?kwanza mm natumia universal modem hsdpa,,na nimeona unarecomend kwa wakongwe watumie mobile partiner je mi itakuwa je?

pili nimesoma nikaona wanasema voucher unaweza kuitumia baada ya miezi mitatu,,bila shaka hiyo ni offer au unasema je mkuu?
 
mkuu mobile patner ni dashboard ya modem yoyote ya huawei iwe ni universal au voda au tigo au safaricom kenya iwe bsnl india iwe smart ufilipino au kokote unakokujua wewe duniani so usijali hilo
 
kama ulivyoambiwa siyo tatizo kuhusu mobile partner. unaweza kutumia software yoyote kukonect modem yako na computer. hata iwe windows dial up software nayo pia inafaa.
pili. vocha inakaa kwa muda wa miezi mitatu bila ya ku expire kabla ya kuanza kuitumia. ile siku ya mwanzo unayoitumia inahesabiwa siku 30 ndio inamaliza muda. lakini kama utakaa miezi mitatu bila ya kuitumia vocha automatically ita expire
 
Bwana Page, initial cost ni pesa ngapi? na tariffs zinakwendaje. 8MBps will do me just fine.

natumia modem mbili za 7.2MBps lakini kila moja inaweza ku deliver aprox. 4MBps zikichangiana ndio tunafika hapo 8MBps. mkuu mie hiyo screenshot nilipopiga ilikuwa ni wakati wa mchana. lakini nilipopiga asubuhi sikuamini macho yangu. hizo ni modem mbili kwa pamoja. kila moja ina uwezo wa 7Mbps. angalia screenshot nilopiga leo asubuhi saa 2
inakaribia 1.4MB/s about 11Mbps
new settings.png
 
mkuu mobile patner ni dashboard ya modem yoyote ya huawei iwe ni universal au voda au tigo au safaricom kenya iwe bsnl india iwe smart ufilipino au kokote unakokujua wewe duniani so usijali hilo
Mkuu Chief kwa sisi tunao tumia sim kuna uwezekano wa kupata hiyo huduma.
 
Baada ya jamaa wa GURU TUnnel kuweza kufanya mambo fulani ambayo yananiwezesha kumpatia kila member wa JF a good and cheap way of browsing internet. bila ya kohofia kublockiwa , no blocking is possible for what i give you. bila ya kujali ni wa zamani au wa sasa. nachukua nafasi hii kuwaambia kila anayetaka unlimited internet ani PM.

Internet hii unaweza kuitumia kwa kudownload kwa speed kubwa kulikoni.......
angalia screen shot hapa chini. ukitaka download kikawaida ukitaka download kwa torrent,........

View attachment 76803 with 2 modems View attachment 76804

Umeona enhe.........umebana mwisho umeachia but sijashawishika bado kunatishwa na super GURU
 
Sielewi hizi mbps ndo nini.. Nieleweshe kwa MB ..i mean 1 MB ni tsh ngapi??

hio ni speed ya internet ina maana kila sekunde moja internet yako inauwezo wa kusafirisha mb1.

Kama vile unavosema gari langu lina speed linatembeka 200km/hr basi na internet ipo hivo hivo.

Hao wote unaoona wanapost hizo screenshot wana internet za unlimited au wana njia za kuzipata hivyo ina maana kwao bei hawajali maana hawakatwi kwa megabyte wanazotumia.

Kama utaamua kuaeka hela bila bundle kwa speed hio nakuhakikishia ndani ya dakika 1 umemaliza elfu 10.

So kama upo interested better buy unlimited package. Mfano vodacom saa 4 usiku hadi 12 asubuhi kwa sh 200
 
Umeona enhe.........umebana mwisho umeachia but sijashawishika bado kunatishwa na super GURU

Jamaa mtata sana weye yaani pamoja na kuruhusiwa fungulia mbwa bado hujaridhika kabisa!!
Nina wasi wasi nawe huenda ndio wale vidudu mtu walioimbwa na At.
Kamanda Paje hakikisha hii chapa haipati TG Member
 
Last edited by a moderator:
Vipi mkuu Paje, imekubali kwa mitandao mengine zaidi ya ule?
 
Last edited by a moderator:
Chief Mkwawa,
"Mfano vodacom saa 4 usiku hadi 12 asubuhi kwa sh 200",
Inafanya kazi kweli hii? I mean speed+bundles? Niwekee screenshot ya mzigo uliokuwa ukiushusha kwa kutumia system hii.
 
dah si mchezo.....maujuzi tele..... na mabasi mengi.... bwana EMPTY nikimaliza kuyapika nitakushtuwa.
 
Back
Top Bottom