Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Ukiona sehemu flani kuna party na watu wapo kimya na sauti ya muziki ipo chini alafu watoto mnaambiwa sogea mbali, basi hapo ni MITAFUNO TU! Wakuu huku ni ni party ya kimya kimya....!
Wasalaam,
Ndebile, P.O. Box Private Bag, Mwashilalage, Kwimba - MWANZA.
Wasalaam,
Ndebile, P.O. Box Private Bag, Mwashilalage, Kwimba - MWANZA.