Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha fix wewebasi la guru limegonga mti juz jion.. some wamedead papohapo wengine majeruhi wanapumulia mpira hospital
umewahi kutaka kutumia program ambayo haina sehemu ya kuweka proxy? au umejaribu kudownload fail kubwa zaidi ya 2GB kwa wakati mmoja? jee umefanikiwa? basi kama jibu lake ni hapana wewe unahitaji proxifier ili aweze kufanya shughuli hiyo. inapendeza version 3.21 ndio iko mzukka. icheki hapa http://kat.ph/usearch/proxifier/ please kama unatumia guru usipendelee magnetic link. kwani haipatani na guru. chukua hii http://torcache.net/torrent/CE666D1685E560358A8F538B8574FBAFCD8B518D.torrent?title=[kat.ph]initex.software.proxifier.v3.21.standard.edition.with.key.tordigger
SETTINGS:
ukimaliza kuinstall proxifier nenda profile=>proxy server then weka proxy kama unavyoona kwenye picha hapa chini
View attachment 78817
hapo hakikisha unapiga OK.... na endelea step ya pili: PROFILE==> PROXIFICATION RULE.. kama settings zitajiweka automatically kama unavyoona kwenye picha hii ya chini hapa ikubalie na usave. lakini ikikataaa kukaa kama hapa chini browse na itafute program ya javaw.exe kwenye program file.... na ufananishe settings zako na picha hiii......
View attachment 78818
hapo sasa save. na kwenye program kama vile firefox , idm , skype au torrrent hutakiwi tena kuweka ile 127.0.0...
unatakiwa uweke no proxy. na hizi zifuatazo ni snapshot wakati proxifier ikimsaidia guru in action...
View attachment 78826na hii View attachment 78827
please check ipi inakupa speed nzuri na uwepesi wa kutumia. kisha amua mwenyewe kutumia hii kitu au laa....
wamaanisha nini kaka?kwishney hamuelewi tu
kwishney hamuelewi tu
kwishney hamuelewi tu
acheni ukuda kama hamtaki kumwaga hapa mautundu
modereta nyofoa nyuzi kama hizi
labda imekushinda settings tu mkuu. ni antivirus gani hiyo nikusaidie? na kuhusu windows update unatakiwa uifanyie configuration internet explorer kutumia proxy husika. windows ita update kama kawaida.....hiyo hata kwa pd ipo... ni angry programs hazipatan hata kidogo,,, mkuu weaknes nyengine nimeiona windows haijiupdate??? hata antivirus hivohivo... nimejaribu both vpn na proxifier., naona bado pd wapo juu kwa hawa jamaa..