free internet :GURU INTERNET TUNNEL KWA KILA MEMBER WA JAMII FORUMS............

magnet:?xt=urn:btih:90CCEC7762440D7FD5E9B90B82BB35DE3BE6A932&dn=mary+stayed+out+all+night+k+drama&tr=http%3A%2F%2Ftracker.publicbt.com%2Fannounce

magnet:?xt=urn:btih:2933291E312EB093ADC8F757EF451085BF764FD7&dn=the+king+2+hearts+k+drama+2012+eng+sub&tr=udp%3A%2F%2Ffr33domtracker.h33t.com%3A3310%2Fannounce
the king 2 hearts: http://r9.btgate.info/core/outzip.php?did=e3757bd7dae8a106d91137b98ac7ed9f
hiyo nyengine baadae kidogo maana ipo slow kujipika
ile prison brk: http://r3.btgate.info/core/outzip.php?did=ae9b382ddc7d03dba2a84ed87c06368c
ila sijui kama utakuwa na ujanja wa kudownload GB 29 kwa pamoja. ukiweza nijuulishe, kuna ujanja wa proxycap na proxifier.
 
kama kawaida ya mtu mnafiki...... anaponda guru lakini kwenye desktop yake kumejaa guru, tena latest version, ana proxifier...... na hakai online bila ya guru....
leo umeiposti mwenyewe desktop yako......ukiwa muongo usiwe msahaulifu..
Kaka hiyo hapo kwenye Red umechemka vibaya maana hiyo program inapiga mzigo bila ya kuitegemea guru
taratibu mwana kuwa na software kwenye desktop aimaanishi kwamba unaitumia. ...pia nikusahihishe proxifier tumekuwa tukiitumia kitambo tena kabla ujaanza kuinadi hiyo guru au unataka kutuambia kwamba bila guru haifanyi kazi?

ukweli situmii guru pia sijazuia mtu kutumia ndiyo maana utaona ktk baadhi ya post zangu nawaelekeza wana jamvi waje kwako wanatiane kwa Guru mengine ni changamoto tu kaka so usinichukie bure we nipende kiroho safi
Hapo nakubaliana nawe mkuu ingawa ni mgeni humu lakini najitokeza kuunga kamba
Kudadek tayari manyau nyau kakukamata uchawi sasa kazi ni kwako!!
Kuhusu proxifier nakubaliana nawe kwamba haipo kwaajili ya Tunnel Guru maana mimi naitumia kwa zile naniino zetu za enzi na enzi ila ilo la Guru mh.....!!!
Sidhani kama umeiegesha kwenye desktop yako kama urembo tu!!!! au tuseme nawe upo kwenye kundi la wale "kipitacho lete" yaani wanao install kila software kwenye pc zao pasipo kuzitumia
Mkuu ulitakiwa ufafanue proxifier unaitumia vipi ili faida iwe kwa wote but wewe uliishia kujiuma uma tu.

hebu nisaidie mkuu, proxifier unaitumia kwa nini kipindi hiki ........ kama ni aibu japo ni PM basi.... maana mie ndio mtu wa mwanzo kuileta idea ya proxifier humu jamvini. lakini huenda ikawa nimebakia nyuma....
Mimi natujibu live badala ya huyu msanii wa vichekesho
ah wapi, hana lolote.......niliona umedanganyika kirahisi........ kuwa anatumia proxifier kivyengine..... ujue njia ya proxifier imekufa tokea enzi ileeee..... halafu ujue mtu wa mwanzo kuitaja hiyo proxifier humu jamvini ni mimi.... nitadanganyika kweli??

Kwa kumsaidia Kicheko, mkuu paje,hata mimi napingana nawe kwamba proxifier haiwezi kufanya kazi bila ya Guru kwa sababu nimejaribu kutafuta uhalali wa kauli ya DEVUQUARTER-DEVUKOTA kuwa hiyo software inaweza kutumika kivingine wakati wewe mletaji wa hiyo soft humu Jamvini unapinga hilo.
Ingawa sijajua DEVUQUARTER-DEVUKOTA anaitumia vipi ila kwa upande wangu nimeijaribu kwa proxy inapiga mzigo vizuri tu.
Ebu bofya hapo chini ujiridhishe.

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/441323-proxifier-kwa-wale-wazee-wa-vichaka.html
 
[/QUOTE]

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/441323-proxifier-kwa-wale-wazee-wa-vichaka.html[/QUOTE]

hiyo ni kujichosha tu kaka, halafu ukishakufanya settings zako kama hizo, ingia yahoo au hotmail usome email zako.
website zinazohitaji javascript zote hazikubali...... nearly useless
 
l[/QUOTE]

hiyo ni kujichosha tu kaka, halafu ukishakufanya settings zako kama hizo, ingia yahoo au hotmail usome email zako.
website zinazohitaji javascript zote hazikubali...... nearly useless[/QUOTE]

Long loive JF long live Paje umenisaidia ana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Kaka hiyo hapo kwenye Red umechemka vibaya maana hiyo program inapiga mzigo bila ya kuitegemea guru

Hapo nakubaliana nawe mkuu ingawa ni mgeni humu lakini najitokeza kuunga kamba

Mkuu ulitakiwa ufafanue proxifier unaitumia vipi ili faida iwe kwa wote but wewe uliishia kujiuma uma tu.

Mimi natujibu live badala ya huyu msanii wa vichekesho

Kwa kumsaidia Kicheko, mkuu paje,hata mimi napingana nawe kwamba proxifier haiwezi kufanya kazi bila ya Guru kwa sababu nimejaribu kutafuta uhalali wa kauli ya DEVUQUARTER-DEVUKOTA kuwa hiyo software inaweza kutumika kivingine wakati wewe mletaji wa hiyo soft humu Jamvini unapinga hilo.
Ingawa sijajua DEVUQUARTER-DEVUKOTA anaitumia vipi ila kwa upande wangu nimeijaribu kwa proxy inapiga mzigo vizuri tu.
Ebu bofya hapo chini ujiridhishe.

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/441323-proxifier-kwa-wale-wazee-wa-vichaka.html

hamna cha kujaribu kwa proxy ikakubali,,,,naona unaji upgrade,,,,mbona ume copy hizo image kwa kwenye blog ya bro wangu fulani hivi au nikupe image location ndo uamini

http://2.bp.blogspot.com/-TVerUnz4Z6w/UXt62911NgI/AAAAAAAACAk/lIFBdj61WCo/s1600/http+setting.jpg
 
TEH...... UNAPONDA ALAFU MUDA HUO HUO UNANI-PM NIKUPE PROXY !
sASA SIKUPI WALA PM YAKO SIIJIBU MBWIGA WE

basi umekosea.... nikuombe proxy wewe deiwaka....wa copy n paste si nshakupa link images umezitoa wapi...kingine unataka nn

ACHA MAMBO YA KUJI BOOST ...NILIKUWA NATAKA NIKUTEGE KWA MTEGO WA PANYA
 
duh hii ndo hatar ya kudandia basi kwa mbele.... kuwakosoa wataalam na kujifanya unajua sana matokeo yake unakosa mengi
 
Kwa kumsaidia Kicheko, mkuu paje,hata mimi napingana nawe kwamba proxifier haiwezi kufanya kazi bila ya Guru kwa sababu nimejaribu kutafuta uhalali wa kauli ya DEVUQUARTER-DEVUKOTA kuwa hiyo software inaweza kutumika kivingine wakati wewe mletaji wa hiyo soft humu Jamvini unapinga hilo.
Ingawa sijajua DEVUQUARTER-DEVUKOTA anaitumia vipi ila kwa upande wangu nimeijaribu kwa proxy inapiga mzigo vizuri tu.
Ebu bofya hapo chini ujiridhishe.

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/441323-proxifier-kwa-wale-wazee-wa-vichaka.html[/QUOTE]

hiyo ni kujichosha tu kaka, halafu ukishakufanya settings zako kama hizo, ingia yahoo au hotmail usome email zako.
website zinazohitaji javascript zote hazikubali...... nearly useless[/QUOTE]

Hacha kujibalaguza yakhe au siyo wewe uliyesema proxifier Bila Tunnel Guru haiendi?
Dogo keshakuvua taulo sasa upo uchi hapo tena mbele ya Mamamkwe teh teh teeh.
Hayo mengine sijui kujichosha sijui nini vile yametokea wapi tena mwanakwetu?
 
umtege nani wewe? upati kitu ndugu.

kupata nn kutoka kwakoo.una ulivyokuwa ukiangaika

Wanandugu/wanajamii ni kipindi kirefu sasa ninatumia wajanja night offer inayoanza saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi.
Nilichogundua ni kwamba hii offer inakuwa active ndani ya 24 hrs ila wamezuia nyakati za mchana sasa wana jamii je hakuna uwezekano wa kuibypass ili iwe full24 hrs itupunguzie adha ya kuwanga usiku mnene.

Nadhani wote wanaonivunja nguvu hawana kitu kama mimi hivyo nawasubiri wenye moyo wa kunisaidia sio nyie ponda ponda

ONA UNAVYO HAHA NI PM nikupe ujanja wewe..sio kufikiria kuchakachua mabo ambayo hayapo
 
Hacha kujibalaguza yakhe au siyo wewe uliyesema proxifier Bila Tunnel Guru haiendi?
Dogo keshakuvua taulo sasa upo uchi hapo tena mbele ya Mamamkwe teh teh teeh.
Hayo mengine sijui kujichosha sijui nini vile yametokea wapi tena mwanakwetu?

BADO umetunza kumbuku ...inaonesha ilikuuuuuma kinyamaaaa...HAAAAAAAAAAHHAAAAAA!..Natania 2
 
Mi mgen huku na haya mambo sijayaelewa kabisa naweza pata msaada zaid plz! kwa sababu nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom