Free online reading

Free online reading

Kilongwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Posts
423
Reaction score
116
Wakubwa,kwa wale wanaotafuta material kadha wa kadha,munaweza tembeleaAfroIT E Learning Page kwa ajili ya vitabu mbalimbali ambapo una uwezo wa kusoma online.Tunajitahidi kuhakikisha tunaweka vitabu vingii zaidi vya ICT ili watu wanufaike zaidi. Kwa wale wanaojiandaa kwa mitihani ya ujuzi munaweza tembelea Hapa ,pia kama una Internet ya kutosha basi unaweza kujifunza kwa kuangalia video mbalimbali zinazopatikana kwenye Video Page . AfroIT imesheheni kila kitu kwa wale wanaotaka kujifunza
 
vp kwa mtu anaeanza kabisa mean hata itroduction to computer?
 
safi mkuu nafuatilia zaidi

pa1 kiongozi.unajua nataka kufahamu hawa mabingwa wa afro it kama mtu yeyote anaweza kujifunza.au ni kwa watu wanaohitaji kuongeza ujuzi tu.
 
Back
Top Bottom