Free Sabaya

Acha hawamu ipite hii Ila wasisahahu ipo siku wazalendo tutakaa pale juu na kamba itanyooshwa hadi msoga
 
Huyo Ni wakupigwa shaba tu. Mjaa laana.
 
Acha hawamu ipite hii Ila wasisahahu ipo siku wazalendo tutakaa pale juu na kamba itanyooshwa hadi msoga

Uzalendo wa kuteka watu na kupiga watu Risasi?. Mzalendo ni yule anayelinda uhai wa mtanzania sio kuutoa.
 
Naona mnaiga ya Mbowe. Eti free Sabaya jambazi anasamehewaje?
 
Mama kamatia hapohapo,kulia kwa zamu,alijua yeye kupanda tu ngazi?hakujua kama kuna kushuka
 
SABAYA NI MUUAJI TENA ALISEMA ALIKUWA KATUMWA NA BOSS ALIYEMTEUA MWENDAZAKE HAWEZI KUACHIWA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Bia za bure mlizokuwa mnapora enzi za Jiwe ndio basi tena !
 
Kama kinakuuma sana chomoa.
 
Kesi moja tu ya sabaya mnalialia kila siku. Chadema walikuwa na kesi kila kona na bado wakabaki na utulivu
 
Uzalendo wa kuteka watu na kupiga watu Risasi?. Mzalendo ni yule anayelinda uhai wa mtanzania sio kuutoa.
Unaweza kutaja watu waliotekwa na Sabaya na kupigwa risasi..au wewe ndio yule unayesqidiwa kufikiria na wengine
 
Unaweza kutaja watu waliotekwa na Sabaya na kupigwa risasi..au wewe ndio yule unayesqidiwa kufikiria na wengine
Umeboa sana kusema alipambana kurudisha Hai toka upinzani kama vile alikuwa anapambana na gonjwa fulani la kuambukiza. Mimi sio mpinzani lakini naelewa kuwa Tanzania ni nchi huru ya vyama vingi, hivyo vyama wa upinzani vina uhalali wa kuwepo Hai na popote Tanzania. Si Kazi ya kiongozi yeyote wa Serikali kupambana na upinzani. Lijue kwanza hilo.
 
Sabaya ni mbuzi wa kafara kwa urafiki wa utawala huu na upinzani.

Ametolewa ili kutoa ushahidi wa urafiki wa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…