Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
MUUAJI SABAYA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakati wewe unapuyanga saa 6 usiku JF,huyo Jambazi Sabaya kapigiwa Filimbi ya kulala sakafuni pale Jela Karanga tangu saa 12 jioni,maisha yanaenda kasi sanaFree Sabaya
Mimi ikitokea akatoka Jela leo mahali popote nitakapokutana nae panga la shingo litamhusu,heri akae hukohuko Jela Jambazi yulehaya maoni yanafikirisha sana, kuna watu wanaomtafuta? je hili lilishawahi kuwekwa wazi ama mhusika kukiri kutishiwa maisha yake? tukiachana hilo, tukirudi kwa mhusika suala lake lipo kwenye vyombo vya sheria hivyo tuiachie mahakama itende haki kulingana na miongozo iliyopo
Huna jeuri hiyo..usikute mbege ndio inaongea kichwani..ndio atoke ujaribu.Mimi ikitokea akatoka Jela leo mahali popote nitakapokutana nae panga la shingo litamhusu,heri akae hukohuko Jela Jambazi yule
Madereva?Aah wapi imeisha hiyo... Huoni yule mwingine hajafikishwa hata polisi ngebe zote kwishney
Wacha wamle jicho kwanzaFree Sabaya
Si mpaka atoke,ndio hatoki sasa,tarehe 10 lazima agongwe miaka 30 Jela ***** [emoji1787]Huna jeuri hiyo..usikute mbege ndio inaongea kichwani..ndio atoke ujaribu.
Huyu hata akiachiwa huru , laana itamtafuna kizazi mpaka kizazi, alishafutwaBinafsi kama mwanaccm hichi kitendo anachofanyiwa Sabaya kinaniuma sana na nikitendo cha udhalilishaji kwa vijana wanaopigania chama kwa kujitoa muhanga.
Sabaya katika uongozi wake amekuta wilaya ya Hai inawakwepa kodi kibao, kiasi kwamba wilaya ile ilikuwa karibia ya 200 katika swala la ukusanyaji kodi ila mzalendo amepambana mpaka hiyo wilaya imekuwa namba 4 kitaifa.
Swali la kujiuliza kama alikuwa jambazi na mla rushwa basi angepokea(rushwa) hongo kwa wale wakwepa kodi na Hai ingendelea kuzorota katika swala la ukusanyaji wa kodi. Uwongo watuhuma hizi tunaanza kureasons hapa?
Sabaya amekuta wilaya ya Hai ikiwa chini ya ngome ya upinzani yaani chadema. Ila amepambana mpaka wilaya yote ya Hai ikarudi CCM. Hii ni ishara ya kuwa mwanachama mzalendo wa chama chake angekuwa yupo kimaslahi angepokea virushwa vya hao wapinzani.
Utawala huu umeingia kama haitambui juhudi na jitahada Sabaya aliyofanyia taifa lake na chama chake. Watesi wake nikimaanisha wale wakwepa kodi na wapinzani wake wamepewa fimbo ya kumhadhibiti huyu mzalendo wa nchi, pia watesi wake wanaonekani kumzidi mtu fulani uwezo wa kupambanua mambo.
Kitendo anachofanyiwa huyu mwanaCCM mwenzetu ni ishara ya udhaifu kwa utawala wa CCM uliopo na viongozi waliotokana na CCM. Hili swala sio lakunyamazia hata kidogo.
Naamini ipo siku atatokea mtawala ndani ya CCM mzalendo na ataweza kutambua viongozi wazalendo wanaopigania nchi.
Sabaya hana kosa hata mahakama kuu imedhibitisha hilo, kuna uhuni nyuma yake na siasa chafu na visasi vya kishetani.. Na kama anafanyiwa hivyo kwa lengo la kuwaadhibu viongozi wakatili na wachafu basi tungeona utitiri wa viongozi wakigikishwa mahakamani ila wapo mtaani wanakula bata....
Nashangaa awamu hii wapinzani wanauwezo wa kuishawishi utawala ukavuma upande wao kwa maslahi yao na sio kwa maslahi ya taifa.
Leo mtu amekutwa na tuhuma za kujibu dhidi ya ugaidi yupo huru, kisa wapinzani wameweza kushawishi utawala na utawala ukalegeza msimamo.
CCM tuache chuki binafsi dhidi ya wenzetu tuungane na tuache kuwadhalilisha wenzetu. Kama mwenzetu amekosa kuna kamati ya maadili afikishwe huko apewe maonyo na adhabu.
Free SabayaHuyu hata akiachiwa huru , laana itamtafuna kizazi mpaka kizazi, alishafutwa
Naunga mkono hoja wekeni namba tumchangie mwanaccm mwenzetuChadema pamoja na kuwaalika sana Ikulu lakini hawatampigia wala kumuombea kura Rais Samia 2025
Hai imerudi mikononi mwa ccm kwenye makaratasi tu, ila kwenye mioyo ya watu, haijarudi na hilo linaweza kuthibitihwa 2025. zaidi ya yote, ccm wana akili sana, kwa ajili ya reconcilliation, unaweza kuta hawajaweka nguvu kubwa sana tena Hai kwasababu kupoteza jimbo la Hai tu hakumaanishi ccm itadhoofu, still watabalance kwingine. pia, jua kuwa mama ni mtu anapenda sana haki, hakuna justification kwa ukatili alioufanya sabaya kuja kufutwa na kupata jimbo, hatupo kwenye uadui wowote na chadema, ndio maana hata kama wewe unapenda kuwaona chadema kama adui lakini mbowe kutwa yupo ikulu wakati wewe haujawahi hata kukanyaga ikulu. unaelewa nini hapo? hakuna uadui kwenye siasa, ila ukiumiza wanadamu, hawa raia ambao jana walikuwa hawaipendi ccm leo wanaipenda, lazima utalipa gharama. hatununui jimbo kwa damu za watu, hatununui jimbo kwa kupora mali za watu, hao unaowapora tunatakiwa kuwabadilisha fikra wawe wana ccm kwa moyo, sio wanaccm kwa maneno. sabaya hata akitoka leo hii, hakimu wa kweli ni Mungu, huyo huwa hapokei maelekezo au ushauri wa mwanadamu.Binafsi kama mwanaccm hichi kitendo anachofanyiwa Sabaya kinaniuma sana na nikitendo cha udhalilishaji kwa vijana wanaopigania chama kwa kujitoa muhanga.
Sabaya katika uongozi wake amekuta wilaya ya Hai inawakwepa kodi kibao, kiasi kwamba wilaya ile ilikuwa karibia ya 200 katika swala la ukusanyaji kodi ila mzalendo amepambana mpaka hiyo wilaya imekuwa namba 4 kitaifa.
Swali la kujiuliza kama alikuwa jambazi na mla rushwa basi angepokea(rushwa) hongo kwa wale wakwepa kodi na Hai ingendelea kuzorota katika swala la ukusanyaji wa kodi. Uwongo watuhuma hizi tunaanza kureasons hapa?
Sabaya amekuta wilaya ya Hai ikiwa chini ya ngome ya upinzani yaani chadema. Ila amepambana mpaka wilaya yote ya Hai ikarudi CCM. Hii ni ishara ya kuwa mwanachama mzalendo wa chama chake angekuwa yupo kimaslahi angepokea virushwa vya hao wapinzani.
Utawala huu umeingia kama haitambui juhudi na jitahada Sabaya aliyofanyia taifa lake na chama chake. Watesi wake nikimaanisha wale wakwepa kodi na wapinzani wake wamepewa fimbo ya kumhadhibiti huyu mzalendo wa nchi, pia watesi wake wanaonekani kumzidi mtu fulani uwezo wa kupambanua mambo.
Kitendo anachofanyiwa huyu mwanaCCM mwenzetu ni ishara ya udhaifu kwa utawala wa CCM uliopo na viongozi waliotokana na CCM. Hili swala sio lakunyamazia hata kidogo.
Naamini ipo siku atatokea mtawala ndani ya CCM mzalendo na ataweza kutambua viongozi wazalendo wanaopigania nchi.
Sabaya hana kosa hata mahakama kuu imedhibitisha hilo, kuna uhuni nyuma yake na siasa chafu na visasi vya kishetani.. Na kama anafanyiwa hivyo kwa lengo la kuwaadhibu viongozi wakatili na wachafu basi tungeona utitiri wa viongozi wakigikishwa mahakamani ila wapo mtaani wanakula bata....
Nashangaa awamu hii wapinzani wanauwezo wa kuishawishi utawala ukavuma upande wao kwa maslahi yao na sio kwa maslahi ya taifa.
Leo mtu amekutwa na tuhuma za kujibu dhidi ya ugaidi yupo huru, kisa wapinzani wameweza kushawishi utawala na utawala ukalegeza msimamo.
CCM tuache chuki binafsi dhidi ya wenzetu tuungane na tuache kuwadhalilisha wenzetu. Kama mwenzetu amekosa kuna kamati ya maadili afikishwe huko apewe maonyo na adhabu.
Wauza madawa ya kulevya ndio wanaomshughulikia sabaya, na hatuwez kibali Jambo hili liendeleeHai imerudi mikononi mwa ccm kwenye makaratasi tu, ila kwenye mioyo ya watu, haijarudi na hilo linaweza kuthibitihwa 2025. zaidi ya yote, ccm wana akili sana, kwa ajili ya reconcilliation, unaweza kuta hawajaweka nguvu kubwa sana tena Hai kwasababu kupoteza jimbo la Hai tu hakumaanishi ccm itadhoofu, still watabalance kwingine. pia, jua kuwa mama ni mtu anapenda sana haki, hakuna justification kwa ukatili alioufanya sabaya kuja kufutwa na kupata jimbo, hatupo kwenye uadui wowote na chadema, ndio maana hata kama wewe unapenda kuwaona chadema kama adui lakini mbowe kutwa yupo ikulu wakati wewe haujawahi hata kukanyaga ikulu. unaelewa nini hapo? hakuna uadui kwenye siasa, ila ukiumiza wanadamu, hawa raia ambao jana walikuwa hawaipendi ccm leo wanaipenda, lazima utalipa gharama. hatununui jimbo kwa damu za watu, hatununui jimbo kwa kupora mali za watu, hao unaowapora tunatakiwa kuwabadilisha fikra wawe wana ccm kwa moyo, sio wanaccm kwa maneno. sabaya hata akitoka leo hii, hakimu wa kweli ni Mungu, huyo huwa hapokei maelekezo au ushauri wa mwanadamu.
wake zake wengi ndio wanamtetea nadhani.yaani wanawake zake. ila kwa mwanaume timilifu, hawezi kumtetea yule katili.Wauza madawa ya kulevya ndio wanaomshughulikia sabaya, na hatuwez kibali Jambo hili liendelee
Andamana kama huwezi kukubali[emoji1787][emoji38]sio unapiga mikwala Mbuzi JFWauza madawa ya kulevya ndio wanaomshughulikia sabaya, na hatuwez kibali Jambo hili liendelee
ile adhabu ni 20 years sio 30Kesi ya Leo Moshi imeahirishwa mpaka tarehe 20, hivyo leo anarudishwa Arusha Jela ya Kisongo ili kusubiria Hukumu yake ya tarehe 10 ambayo iwe jua iwe mvua lazima agongwe miaka 30 Jela,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]