Free Sabaya

Mimi ikitokea akatoka Jela leo mahali popote nitakapokutana nae panga la shingo litamhusu,heri akae hukohuko Jela Jambazi yule
 
Mimi ikitokea akatoka Jela leo mahali popote nitakapokutana nae panga la shingo litamhusu,heri akae hukohuko Jela Jambazi yule
Huna jeuri hiyo..usikute mbege ndio inaongea kichwani..ndio atoke ujaribu.
 
Nakuombea Kwa Mungu wewe au ndugu yako WA karibu kabisa mpate misukosuko Kama waliyokuwa wanapata Wafanyabiashara wa Hai na Wanachama wa Chadema ili uexperience wenzako walichokuwa Wana experience.

Kwakua kwako pako salama basi usidhani Kwa wengine pia palikuwa salama. Watu wameteswa na huyo Jamaa Acha na yeye aonje kadhaa za madhalimu aliyokuwa anayafanya.
 
Ni muda wake kupitia hayo...kutesa Kwa zamu
 
Huyu hata akiachiwa huru , laana itamtafuna kizazi mpaka kizazi, alishafutwa
 
Hai imerudi mikononi mwa ccm kwenye makaratasi tu, ila kwenye mioyo ya watu, haijarudi na hilo linaweza kuthibitihwa 2025. zaidi ya yote, ccm wana akili sana, kwa ajili ya reconcilliation, unaweza kuta hawajaweka nguvu kubwa sana tena Hai kwasababu kupoteza jimbo la Hai tu hakumaanishi ccm itadhoofu, still watabalance kwingine. pia, jua kuwa mama ni mtu anapenda sana haki, hakuna justification kwa ukatili alioufanya sabaya kuja kufutwa na kupata jimbo, hatupo kwenye uadui wowote na chadema, ndio maana hata kama wewe unapenda kuwaona chadema kama adui lakini mbowe kutwa yupo ikulu wakati wewe haujawahi hata kukanyaga ikulu. unaelewa nini hapo? hakuna uadui kwenye siasa, ila ukiumiza wanadamu, hawa raia ambao jana walikuwa hawaipendi ccm leo wanaipenda, lazima utalipa gharama. hatununui jimbo kwa damu za watu, hatununui jimbo kwa kupora mali za watu, hao unaowapora tunatakiwa kuwabadilisha fikra wawe wana ccm kwa moyo, sio wanaccm kwa maneno. sabaya hata akitoka leo hii, hakimu wa kweli ni Mungu, huyo huwa hapokei maelekezo au ushauri wa mwanadamu.
 
Wauza madawa ya kulevya ndio wanaomshughulikia sabaya, na hatuwez kibali Jambo hili liendelee
 
Wauza madawa ya kulevya ndio wanaomshughulikia sabaya, na hatuwez kibali Jambo hili liendelee
wake zake wengi ndio wanamtetea nadhani.yaani wanawake zake. ila kwa mwanaume timilifu, hawezi kumtetea yule katili.
 
Kesi ya Leo Moshi imeahirishwa mpaka tarehe 20, hivyo leo anarudishwa Arusha Jela ya Kisongo ili kusubiria Hukumu yake ya tarehe 10 ambayo iwe jua iwe mvua lazima agongwe miaka 30 Jela,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wauza madawa ya kulevya ndio wanaomshughulikia sabaya, na hatuwez kibali Jambo hili liendelee
Andamana kama huwezi kukubali[emoji1787][emoji38]sio unapiga mikwala Mbuzi JF
 
Kesi ya Leo Moshi imeahirishwa mpaka tarehe 20, hivyo leo anarudishwa Arusha Jela ya Kisongo ili kusubiria Hukumu yake ya tarehe 10 ambayo iwe jua iwe mvua lazima agongwe miaka 30 Jela,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ile adhabu ni 20 years sio 30
 
Ebu peleka huko hayo majambazi yako,.. Usituhusishe na wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…