Free Sabaya

Free Sabaya

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Binafsi kama mwanaccm hichi kitendo anachofanyiwa Sabaya kinaniuma sana na nikitendo cha udhalilishaji kwa vijana wanaopigania chama kwa kujitoa muhanga.

Sabaya katika uongozi wake amekuta wilaya ya Hai inawakwepa kodi kibao, kiasi kwamba wilaya ile ilikuwa karibia ya 200 katika swala la ukusanyaji kodi ila mzalendo amepambana mpaka hiyo wilaya imekuwa namba 4 kitaifa.

Swali la kujiuliza kama alikuwa jambazi na mla rushwa basi angepokea(rushwa) hongo kwa wale wakwepa kodi na Hai ingendelea kuzorota katika swala la ukusanyaji wa kodi. Uwongo watuhuma hizi tunaanza kureasons hapa?

Sabaya amekuta wilaya ya Hai ikiwa chini ya ngome ya upinzani yaani chadema. Ila amepambana mpaka wilaya yote ya Hai ikarudi CCM. Hii ni ishara ya kuwa mwanachama mzalendo wa chama chake angekuwa yupo kimaslahi angepokea virushwa vya hao wapinzani.

Utawala huu umeingia kama haitambui juhudi na jitahada Sabaya aliyofanyia taifa lake na chama chake. Watesi wake nikimaanisha wale wakwepa kodi na wapinzani wake wamepewa fimbo ya kumhadhibiti huyu mzalendo wa nchi, pia watesi wake wanaonekani kumzidi mtu fulani uwezo wa kupambanua mambo.

Kitendo anachofanyiwa huyu mwanaCCM mwenzetu ni ishara ya udhaifu kwa utawala wa CCM uliopo na viongozi waliotokana na CCM. Hili swala sio lakunyamazia hata kidogo.

Naamini ipo siku atatokea mtawala ndani ya CCM mzalendo na ataweza kutambua viongozi wazalendo wanaopigania nchi.

Sabaya hana kosa hata mahakama kuu imedhibitisha hilo, kuna uhuni nyuma yake na siasa chafu na visasi vya kishetani.. Na kama anafanyiwa hivyo kwa lengo la kuwaadhibu viongozi wakatili na wachafu basi tungeona utitiri wa viongozi wakigikishwa mahakamani ila wapo mtaani wanakula bata....

Nashangaa awamu hii wapinzani wanauwezo wa kuishawishi utawala ukavuma upande wao kwa maslahi yao na sio kwa maslahi ya taifa.

Leo mtu amekutwa na tuhuma za kujibu dhidi ya ugaidi yupo huru, kisa wapinzani wameweza kushawishi utawala na utawala ukalegeza msimamo.

CCM tuache chuki binafsi dhidi ya wenzetu tuungane na tuache kuwadhalilisha wenzetu. Kama mwenzetu amekosa kuna kamati ya maadili afikishwe huko apewe maonyo na adhabu.
 
Sabaya katika uongozi wake amekuta wilaya ya hai inawakwepa kodi kibao,kiasi kwamba wilaya ile ilikuwa karibia ya mia 200 katika swala la ukusanyaji kodi ila mzalendo amepambana mpaka.hiyo wilaya imekuwa namba 4 kitaifa...swali la kujiuliza kama alikuwa jambazi na mla rushwa basi angepokea(rushwa) hongo kwa wale wakwepa kodi na hai ingendelea kuzorota katika swala la ukusanyaji wa kodi..uwongo watuhuma hizi tunaanza kureasons hapa?

Sabaya amekuta wilaya ya hai ikiwa chini ya ngome ya upinzani yaaani chadema..ila amepambana mpaka wilaya yote ya hai ikarudi CCM..hii ni ishara ya kuwa mwanachama mzalendo wa chama chake...angekuwa yupo kimaslahi angepokea virushwa vya hao wapinzani.

Utawala huu umeingia kama haitambui juhudi na jitahada Sabaya aliyofanyia taifa lake na chama chake...watesi wake nikimaanisha wale wakwepa kodi na wapinzani wake wamepewa fimbo ya kumhadhibi huyu mzalendo wa nchi..pia watesi wake wanaonekani kumzidi mtu fulani uwezo wa kumbambanua mambo.

Kitendo anachofanyiwa huyu mwanaCCM mwenzetu ni ishara ya udhaifu kwa utawala wa ccm uliopo na viongozi waliotokana na CCM..hili swala sio lakunyamazia hata kidogo.

Sabaya hana kosa hata mahakama kuu imedhibitisha hilo....kuna uhuni nyuma yake na siasa chafu na visasi vya kish$tani.. Na kama anafanyiwa hivyo kwa lengo la kuwahadhibu viongozi wakatili na wachafu...basi tungeona utitiri wa viongozi wakigikishwa mahakamani ila wapo mtaani wanakula bata....

Nashangaa awamu hii wapinzani wanauwezo wa kuishawishi utawala ungevuma upande wao kwa maslahi yao na sio kwa maslahi ya taifa.

Leo mtu amekutwa na tuhuma za kujibu dhidi ya ugaidi yupo huru,kisa wapinzani wameweza kushawishi utawala..na utawala ukalegeza msimamo...

CCM tuache chuki binafsi dhidi ya wenzetu tuungane na tuache kuwadhalilisha wenzetu...kama.mwenzetu amekosa kuna kamati ya maadili afikishwe huko..apewe maonyo na adhabu.
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka. Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.

Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.

Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.

#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
 
Sasa akiachiwa arudi uraiani, wale wenye hasira nae si watajichukulia sheria mkononi na kulipa visasi? Si bora serikali imfiche jela au mahakamani? Kumbuka tofauti na viongozi wastaafu, serikali haina uwezo wa kumlinda Sabaya masaa 24 huko uraiani. Wanaomtafuta watampata tuu.
 
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka. Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.

Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.

Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.

#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Hakutaka kutenda haki bali alitumia uongozi wake kuumiza watu kwa kuwaua,kuwakata kwa mapanga, kunyang'anya nk kwahiyo kama alifanya hayo na mashuhuda wahayo wapo basi najiteè ashinde kesi zake. Kesho atajua kwamba uongozi sikuumiza watu bali nikuwatumikia watu.
 
Binafsi kama mwanaccm hichi kitendo anachofanyiwa Sabaya kinaniuma sana na nikitendo cha udhalilishaji kwa vijana wanaopigania chama kwa kujitoa muhanga.

Sabaya katika uongozi wake amekuta wilaya ya hai inawakwepa kodi kibao,kiasi kwamba wilaya ile ilikuwa karibia ya mia 200 katika swala la ukusanyaji kodi ila mzalendo amepambana mpaka.hiyo wilaya imekuwa namba 4 kitaifa...swali la kujiuliza kama alikuwa jambazi na mla rushwa basi angepokea(rushwa) hongo kwa wale wakwepa kodi na hai ingendelea kuzorota katika swala la ukusanyaji wa kodi..uwongo watuhuma hizi tunaanza kureasons hapa?

Sabaya amekuta wilaya ya hai ikiwa chini ya ngome ya upinzani yaaani chadema..ila amepambana mpaka wilaya yote ya hai ikarudi CCM..hii ni ishara ya kuwa mwanachama mzalendo wa chama chake...angekuwa yupo kimaslahi angepokea virushwa vya hao wapinzani.

Utawala huu umeingia kama haitambui juhudi na jitahada Sabaya aliyofanyia taifa lake na chama chake...watesi wake nikimaanisha wale wakwepa kodi na wapinzani wake wamepewa fimbo ya kumhadhibi huyu mzalendo wa nchi..pia watesi wake wanaonekani kumzidi mtu fulani uwezo wa kumbambanua mambo.

Kitendo anachofanyiwa huyu mwanaCCM mwenzetu ni ishara ya udhaifu kwa utawala wa ccm uliopo na viongozi waliotokana na CCM..hili swala sio lakunyamazia hata kidogo.

Naamini ipo siku atatokea mtawala ndani ya CCM mzalendo na ataweza kutambua viongozi wazalendo wanaopigania nchi.

Sabaya hana kosa hata mahakama kuu imedhibitisha hilo....kuna uhuni nyuma yake na siasa chafu na visasi vya kish$tani.. Na kama anafanyiwa hivyo kwa lengo la kuwahadhibu viongozi wakatili na wachafu...basi tungeona utitiri wa viongozi wakigikishwa mahakamani ila wapo mtaani wanakula bata....

Nashangaa awamu hii wapinzani wanauwezo wa kuishawishi utawala ungevuma upande wao kwa maslahi yao na sio kwa maslahi ya taifa.

Leo mtu amekutwa na tuhuma za kujibu dhidi ya ugaidi yupo huru,kisa wapinzani wameweza kushawishi utawala..na utawala ukalegeza msimamo...

CCM tuache chuki binafsi dhidi ya wenzetu tuungane na tuache kuwadhalilisha wenzetu...kama.mwenzetu amekosa kuna kamati ya maadili afikishwe huko..apewe maonyo na adhabu.
Kama hana hatia yoyote iache mahakama imsafishe. Ana tuhuma nyingi sana dhidi yake kutokana na matumizi mabaya ya madaraka.

Hivi unafikiri kati yako na vyombo vya dola ni yupi mwenye taarifa sahihi kuhusu tuhuma za huyo unayejaribu kumtetea!?
Je! Vipi kuhusu haki za wale wote walioathirika na vitendo vyake vya kijinai na kundi la kihalifu aliloliongoza?
 
Binafsi kama mwanaccm hichi kitendo anachofanyiwa Sabaya kinaniuma sana na nikitendo cha udhalilishaji kwa vijana wanaopigania chama kwa kujitoa muhanga.

Sabaya katika uongozi wake amekuta wilaya ya hai inawakwepa kodi kibao,kiasi kwamba wilaya ile ilikuwa karibia ya mia 200 katika swala la ukusanyaji kodi ila mzalendo amepambana mpaka.hiyo wilaya imekuwa namba 4 kitaifa...swali la kujiuliza kama alikuwa jambazi na mla rushwa basi angepokea(rushwa) hongo kwa wale wakwepa kodi na hai ingendelea kuzorota katika swala la ukusanyaji wa kodi..uwongo watuhuma hizi tunaanza kureasons hapa?

Sabaya amekuta wilaya ya hai ikiwa chini ya ngome ya upinzani yaaani chadema..ila amepambana mpaka wilaya yote ya hai ikarudi CCM..hii ni ishara ya kuwa mwanachama mzalendo wa chama chake...angekuwa yupo kimaslahi angepokea virushwa vya hao wapinzani.

Utawala huu umeingia kama haitambui juhudi na jitahada Sabaya aliyofanyia taifa lake na chama chake...watesi wake nikimaanisha wale wakwepa kodi na wapinzani wake wamepewa fimbo ya kumhadhibi huyu mzalendo wa nchi..pia watesi wake wanaonekani kumzidi mtu fulani uwezo wa kumbambanua mambo.

Kitendo anachofanyiwa huyu mwanaCCM mwenzetu ni ishara ya udhaifu kwa utawala wa ccm uliopo na viongozi waliotokana na CCM..hili swala sio lakunyamazia hata kidogo.

Naamini ipo siku atatokea mtawala ndani ya CCM mzalendo na ataweza kutambua viongozi wazalendo wanaopigania nchi.

Sabaya hana kosa hata mahakama kuu imedhibitisha hilo....kuna uhuni nyuma yake na siasa chafu na visasi vya kish$tani.. Na kama anafanyiwa hivyo kwa lengo la kuwahadhibu viongozi wakatili na wachafu...basi tungeona utitiri wa viongozi wakigikishwa mahakamani ila wapo mtaani wanakula bata....

Nashangaa awamu hii wapinzani wanauwezo wa kuishawishi utawala ukavuma upande wao kwa maslahi yao na sio kwa maslahi ya taifa.

Leo mtu amekutwa na tuhuma za kujibu dhidi ya ugaidi yupo huru,kisa wapinzani wameweza kushawishi utawala..na utawala ukalegeza msimamo...

CCM tuache chuki binafsi dhidi ya wenzetu tuungane na tuache kuwadhalilisha wenzetu...kama.mwenzetu amekosa kuna kamati ya maadili afikishwe huko..apewe maonyo na adhabu.
Hivi nani kawapa mamlaka ya kuwa juu ya kila kitu ndani ya hii nchi? Mnatakiwa kuheshimu mahakama! Sawa?
 
Ni kazi ya Mkuu wa Wilaya ambaye ni Kiongozi wa Serikali kupambana na Chadema? Kwanini anatuhuma Arusha wakati kituo chake cha kazi ni Hai? Kila mtu avune alichopanda aisee.
 
Msalimie Atero pale Milestone mtavuna MLICHOPANDA !!!

Pale Bills na Triple A mlikuwa bafalme sasa LIKALALAMOTO..
 
Mimi ni mwanaccm pia.
Chama Cha Mapinduzi kinatakiwa kuongoza kwa mfano wa kufuata sheria, utu na uadilifu wa hali ya juu.
Kupigania chama kwa kufanya uhalifu dhidi ya raia wenye itiikadi tofauti ni kinyume na katiba ya chama na ya nchi pia (binadamu wote ni sawa na Africa ni moja) ni maneno muhimu yenye kuhusisha CCM.
Ni lazima turudi kwenye misingi ya uasisi wa chama na taifa kwa ujumla.
Kesi za jinai hupelekwa mahakamani na siyo kwenye kamati za maadili.
Ni makosa chama kutetea au kuhushwa na uhalifu.
 
Binafsi kama mwanaccm hichi kitendo anachofanyiwa Sabaya kinaniuma sana na nikitendo cha udhalilishaji kwa vijana wanaopigania chama kwa kujitoa muhanga.

Sabaya katika uongozi wake amekuta wilaya ya hai inawakwepa kodi kibao,kiasi kwamba wilaya ile ilikuwa karibia ya mia 200 katika swala la ukusanyaji kodi ila mzalendo amepambana mpaka.hiyo wilaya imekuwa namba 4 kitaifa...swali la kujiuliza kama alikuwa jambazi na mla rushwa basi angepokea(rushwa) hongo kwa wale wakwepa kodi na hai ingendelea kuzorota katika swala la ukusanyaji wa kodi..uwongo watuhuma hizi tunaanza kureasons hapa?

Sabaya amekuta wilaya ya hai ikiwa chini ya ngome ya upinzani yaaani chadema..ila amepambana mpaka wilaya yote ya hai ikarudi CCM..hii ni ishara ya kuwa mwanachama mzalendo wa chama chake...angekuwa yupo kimaslahi angepokea virushwa vya hao wapinzani.

Utawala huu umeingia kama haitambui juhudi na jitahada Sabaya aliyofanyia taifa lake na chama chake...watesi wake nikimaanisha wale wakwepa kodi na wapinzani wake wamepewa fimbo ya kumhadhibi huyu mzalendo wa nchi..pia watesi wake wanaonekani kumzidi mtu fulani uwezo wa kumbambanua mambo.

Kitendo anachofanyiwa huyu mwanaCCM mwenzetu ni ishara ya udhaifu kwa utawala wa ccm uliopo na viongozi waliotokana na CCM..hili swala sio lakunyamazia hata kidogo.

Naamini ipo siku atatokea mtawala ndani ya CCM mzalendo na ataweza kutambua viongozi wazalendo wanaopigania nchi.

Sabaya hana kosa hata mahakama kuu imedhibitisha hilo....kuna uhuni nyuma yake na siasa chafu na visasi vya kish$tani.. Na kama anafanyiwa hivyo kwa lengo la kuwahadhibu viongozi wakatili na wachafu...basi tungeona utitiri wa viongozi wakigikishwa mahakamani ila wapo mtaani wanakula bata....

Nashangaa awamu hii wapinzani wanauwezo wa kuishawishi utawala ukavuma upande wao kwa maslahi yao na sio kwa maslahi ya taifa.

Leo mtu amekutwa na tuhuma za kujibu dhidi ya ugaidi yupo huru,kisa wapinzani wameweza kushawishi utawala..na utawala ukalegeza msimamo...

CCM tuache chuki binafsi dhidi ya wenzetu tuungane na tuache kuwadhalilisha wenzetu...kama.mwenzetu amekosa kuna kamati ya maadili afikishwe huko..apewe maonyo na adhabu.
Yaani urudishe wilaya ya Hai kwa kuua,teka, baka, piga watu misumari, afu ujiite mfia Chama[emoji2]
 
PUMBAFU! Unataka ahachiwe kwa sababu ya uwanaccm wake hata kama ni jambazi na jitu la ovyo??
 
Acha mahakama ifanye yake,kila mda mnabadili Id mnakuja kivingine kutetea ujambazi,Kama ni mzalendo kweli si atatoka tu,

Wakati watu wakiumizwa walipopiga kelele kuhusu unyama wa huyu mtu mkasema acha awanyoshe,sasa tuache kelele mahakama ifanye kazi
 
Binafsi kama mwanaccm hichi kitendo anachofanyiwa Sabaya kinaniuma sana na nikitendo cha udhalilishaji kwa vijana wanaopigania chama kwa kujitoa muhanga.

Sabaya katika uongozi wake amekuta wilaya ya Hai inawakwepa kodi kibao, kiasi kwamba wilaya ile ilikuwa karibia ya 200 katika swala la ukusanyaji kodi ila mzalendo amepambana mpaka hiyo wilaya imekuwa namba 4 kitaifa.

Swali la kujiuliza kama alikuwa jambazi na mla rushwa basi angepokea(rushwa) hongo kwa wale wakwepa kodi na Hai ingendelea kuzorota katika swala la ukusanyaji wa kodi. Uwongo watuhuma hizi tunaanza kureasons hapa?

Sabaya amekuta wilaya ya Hai ikiwa chini ya ngome ya upinzani yaani chadema. Ila amepambana mpaka wilaya yote ya Hai ikarudi CCM. Hii ni ishara ya kuwa mwanachama mzalendo wa chama chake angekuwa yupo kimaslahi angepokea virushwa vya hao wapinzani.

Utawala huu umeingia kama haitambui juhudi na jitahada Sabaya aliyofanyia taifa lake na chama chake. Watesi wake nikimaanisha wale wakwepa kodi na wapinzani wake wamepewa fimbo ya kumhadhibiti huyu mzalendo wa nchi, pia watesi wake wanaonekani kumzidi mtu fulani uwezo wa kupambanua mambo.

Kitendo anachofanyiwa huyu mwanaCCM mwenzetu ni ishara ya udhaifu kwa utawala wa CCM uliopo na viongozi waliotokana na CCM. Hili swala sio lakunyamazia hata kidogo.

Naamini ipo siku atatokea mtawala ndani ya CCM mzalendo na ataweza kutambua viongozi wazalendo wanaopigania nchi.

Sabaya hana kosa hata mahakama kuu imedhibitisha hilo, kuna uhuni nyuma yake na siasa chafu na visasi vya kishetani.. Na kama anafanyiwa hivyo kwa lengo la kuwaadhibu viongozi wakatili na wachafu basi tungeona utitiri wa viongozi wakigikishwa mahakamani ila wapo mtaani wanakula bata....

Nashangaa awamu hii wapinzani wanauwezo wa kuishawishi utawala ukavuma upande wao kwa maslahi yao na sio kwa maslahi ya taifa.

Leo mtu amekutwa na tuhuma za kujibu dhidi ya ugaidi yupo huru, kisa wapinzani wameweza kushawishi utawala na utawala ukalegeza msimamo.

CCM tuache chuki binafsi dhidi ya wenzetu tuungane na tuache kuwadhalilisha wenzetu. Kama mwenzetu amekosa kuna kamati ya maadili afikishwe huko apewe maonyo na adhabu.
upuuzi!!
 
Back
Top Bottom