Abduly Mfaume
Member
- Jan 19, 2018
- 7
- 3
Ahsante mdauDuh pole aisee....bahati mbaya sina uzoefu na hyo decoder
Ni kubadilisha uelekeo tu wa hilo dish....
Bei yake n sh ngap sahvWakuu habari zenu, Naombeni msaada nimenunua Decoder ya FTA(free to air) nipo Ifakara moro. Nimetumia kusearch kwa Dish la Azam(ambalo pia natumia na Startime kwenye Same direction) lakini decoder kwa Tv za Ndani hapa Tz ni Tv Imaan,New Africa Tv swahili, Maarifa Tv, WRM na Africa Tv swahili ndo napata na Matelevisheni ya Nje, Nifanyaje Nipate ITV, EATV na zinginezo ?
Nimenunua 68,000/= bila dishBei yake n sh ngap sahv
Sawa mkuuNimenunua 68,000/= bila dish