Abduly Mfaume
Member
- Jan 19, 2018
- 7
- 3
Wakuu habari zenu, Naombeni msaada nimenunua Decoder ya FTA(free to air) nipo Ifakara moro. Nimetumia kusearch kwa Dish la Azam(ambalo pia natumia na Startime kwenye Same direction) lakini decoder kwa Tv za Ndani hapa Tz ni Tv Imaan,New Africa Tv swahili, Maarifa Tv, WRM na Africa Tv swahili ndo napata na Matelevisheni ya Nje, Nifanyaje Nipate ITV, EATV na zinginezo ?