pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hii ni ripoti ya kila mwaka, ya shirika la kimataifa la Freedom House. Kuhusu uhuru, demokrasia na haki za kibinadam duniani.
Hizi hapa ni nchi kumi zinazoangaziwa kwa kuminya demokrasia, kukandamiza wanahabari na kukiuka haki za kibinadam na sheria za nchi. **Viashiria vya hali inavoendelea kwenye nchi hizi hapa juu ni hizo 'Trend Arrows': Nyekundu- hali inaendelea kuwa mbaya. Kijani kibichi- kuna afueni kiaina.**
Hizi nazo ni nchi kumi na mbili 'worst of the worst' kwenye masuala ya uhuru, demokrasia na haki za kibinadam. https://freedomhouse.org/report/freedom-world/freedom-world-2018 Utafiti huu umetumia 'freedom rating' ambayo inajumuisha 'political rights'(haki na uhuru kisiasa/demokrasia) na 'civil liberties'(uhuru wa wananchi/wanahabari kwenye masuala mengine kama haki ya kujieleza).