Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Inawezekana ikawa ni ndugu GLOBAL CITIZENMiaka miwili iliyopita nilisikia kwa mara ya kwanza juu ya freelancing na kwa kumbukumbu zangu ilikua hapa hapa JF kule kwenye jukwaa la ajira (too bad nimemsahau aliyeleta ule uzi)!
Nikasema si mbaya acha nimjibu meseji asipojibu basi haikua riziki yangu! Nikajibu meseji nikaona yuko kimya nikapotezea nikajua ishakula kwangu...
Sasa leo ndio akajibu meseji yangu and finally nikapata order rasmi! order yangu ywa kwanza kwenye ulimwengu wa freelancing!
My take.
- Hongera kwa hatua kubwa.
- Mawasiliano: Boresha mawasiliano yako kwa kujibu wateja kwa wakati, Download hii SPIKE app: Spike: More than email. Better than chat. - Apps on Google Play
Weka email yako unayotumia, na hakika itakusaidia kuona jumbe (email) kwa haraka na utaweza ku_chat nao kama katika email kama msg za kawaida.
- Uwanja wa freelancing ni mpana, paka maarifa zaidi kwa kupitia makala za GLOBAL CITIZEN hapa: https://www.jamiiforums.com/search/5168419/ utaona ni jinsi gani jamaa anavyo pambana na ametoa tips and tricks nyingi za kuhakikisha unapata kazi nyingi kwa site tofauti tofauti.