Freelancing: Tushauriane hapa mbinu za kuingiza Mkwanja

Freelancing: Tushauriane hapa mbinu za kuingiza Mkwanja

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Habari zenu wadau.

Nimekaa hapa naotea jua nikiwa nachezea chezea simu instagram nisipitwe na nani kamwambia nani nini na amejibiwa vipi kama ilivyozoeleka.

Sasa nimeona kidogo niingie kuperuzi namna ya kuingiza mkwanja ili bando langu lisiishe kiboya.

Nimeperuzi peruzi nikakutana na hizi kazi za mitandaoni za freelancing na kweli watu wanachapa pesa,

Nilikuwa nafanya blogging ila google walipofanya updates zao watembelraji wamepungua sana pesa hakuna.

Hadi leo 2020 changamoto ni namna ya kupokea pesa hapa bongo ila nimejiongeza nipo kwenye harakati ya kusajili line ya safaricom ambayo inapokea pesa bila matatizo na unatoa kwenye vibanda vya mpesa.

Sasa kuna mtu moja hapo zamani aliwahi kusema ukipewa masaa kumi kukata mti ni heri ulinoe hata kwa masaa tisa ili utumie saa kukata mti kwa wepesi.

Naomba tujuzane basi humu ndani kuwe na mgongano wa mawazo,najua wapo weupe kama mimi ambao ndio kwanza hatujui, wengine wana taarifa muhimu na wengine wanapokea pesa walishaanza kitambo

GLOBAL CITIZEN
Chief-Mkwawa
Njunwa Wamavoko
 
Apply payoneer, mimi nikokwenye freelancing mwaka wa 5 sasa, mkuu ukiifanya right kuna ela maana nikiingiza ela ndogo kwa mwezi si chini ya dollar 800 ila kuna muda inaenda mpaka 2000 hapo na kwa mitandao miwili tu. na nategemea itaongezeka kuna issue naziset zikikaa sawa ninajua itapanda hata mara 5.
Na kumbuka sikatwi kodi kwasababu serikali haijaniwekea miundombinu mizuri ya kufanya hivyo
Safi sana mkuu, vipi una deal na kutoa huduma gani
 
safi sana mkuu, vipi una deal na kutoa huduma gani
Nyingi sana, article writing, translation, research, voice over, subtitles, transcribe, yani huduma yoyote ninayaona naweza. Hapa nina project ya kukusanya majina ya wanamziki 200 kutoka afrika mashariki na aina mziki wanaoufanya an details zao kidogo naondoka na pesa kidogo.

Huku naendelea kuandika articles, hapo nina kazi moja ya kutrascribe kiswahili, pembeni nina kazi ya subtitles huku namanage sopify customer service ya online shop ya MMarekan flani, na bado kuna kazi nyinine nyng tu
 
rs
Nyingi sana, article writing, translation, research, voice over, subtitles, transcribe, yani huduma yoyote ninayaona naweza. Hapa nina project ya kukusanya majina ya wanamziki 200 kutoka afrika mashariki na aina mziki wanaoufanya an details zao kidogo naondoka na pesa kidogo, huku naendelea kuandika articles, hapo nina kazi moja ya kutrascribe kiswahili, pembeni nina kazi ya subtitles huku namanage sopify customer service ya online shop ya MMarekan flani, na bado kuna kazi nyinine nyng tu
Naona ushakuwa mzoefu, ila nimeona kwa sisi wapya wengi tunalalamika jinsi ya kupewa tenda / kazi inakuwa ni mtihani, tunarukaje hiki kiunzi
 
rs

Naona ushakuwa mzoefu, ila nimeona kwa sisi wapya wengi tunalalamika jinsi ya kupewa tenda / kazi inakuwa ni mtihani, tunarukaje hiki kiunzi
Hapana hata kwa Fiverr siko sana ila kwa upwork na freelancer sidhan kama ni kikwazo jambola msingi bid kazi unazoweza na uzifanye kweli
 
Hapana hata kwa Fiverr siko sana ila kwa upwork na freelancer sidhan kama ni kikwazo jambola msingi bid kazi unazoweza na uzifanye kweli
Sasa vp kuhusu bei za kutoa huduma aisee, nianze na bei za juu kama wengine au nianze kwa kuchaji kidogo ili nipate wateja, Kwa sasa mimi skills nlizonazo ni excel na nyingine kama article writing,
 
1• Mkuu dudu jeupe, ni kweli Online freelancing ni opportunity nzuri yakutengeneza real money online [emoji383] Huu uzi wako nimeona kwa bahati tu maana JF sipati notifications.

2 • Mkuu, mbinu zakupata kazi kwenye Online freelancing platform yoyote ni kuwa “personal” unapo apply kazi.

Kwa mfano mwezi May nimetengeneza $500+

IMG_9631.JPG

Mwezi huu June tayari nina gig mbili $2700+. Moja nimemaliza, ilikuwa ndogo tu ya $50. Sasa naendele na hii gif kubwa.

You can check the screenshot. Maana watu wengi wanasema wanapata pesa lakini kamwe hawaweki ushahidi.

IMG_9899.JPG

IMG_9900.JPG

Mkuu, nikisema personal namaanisha inabidi “uongee lungha” client itakayomfanya aone kweli wewe unaufahamu na kazi unayotaka kufanya. Siwezi kwenda ndani zaidi kwasababu watu wananilipa kuwafundisha haya.

3 • Apply kazi zile tu ulizo na competitive advantage. Usi Apply kazi unazojua umeshashindwa tayari. Ukiona huwezi kuwa personal na kazi unayotaka ku Apply basi jua hutapata.

unahitaji msaaada zaidi? Contact me through my email makingmoneyonlinetz@gmail.com

Cheers 🥂
 
Haya mambo naamini yatanitoa pia, changamoto inayonikumba mpaka sasa
1)Muda
2)Mtaji (Pesa&Resources)
3)Utulivu wa akiri

Nipo kwenye ku-solve hizi changamoto mpango wangu ukienda kama nikivyopanga miezi 2 mbele inatosha kuSolve changamoto zote tatu na kuanza kimojakimoja.
 
Nyingi sana, article writing, translation, research, voice over, subtitles, transcribe, yani huduma yoyote ninayaona naweza. Hapa nina project ya kukusanya majina ya wanamziki 200 kutoka afrika mashariki na aina mziki wanaoufanya an details zao kidogo naondoka na pesa kidogo, huku naendelea kuandika articles, hapo nina kazi moja ya kutrascribe kiswahili, pembeni nina kazi ya subtitles huku namanage sopify customer service ya online shop ya MMarekan flani, na bado kuna kazi nyinine nyng tu
Hongera mkuu .. binafsi bado nakusubiria unifikirie ndugu yangu.
 
Haya mambo naamini yatanitoa pia, changamoto inayonikumba mpaka sasa
1)Muda
2)Mtaji (Pesa&Resources)
3)Utulivu wa akiri

Nipo kwenye ku-solve hizi changamoto mpango wangu ukienda kama nikivyopanga miezi 2 mbele inatosha kuSolve changamoto zote tatu na kuanza kimojakimoja.
Mtaji kwenye freelancing unautumia wapi?
 
Hongera mkuu .. binafsi bado nakusubiria unifikirie ndugu yangu.
Naomba namba yako nilipoteza halafu na conveo nlifuta sa nikawa nasubir unitafute maana nimekalili ile inaishia 208 lakini mwanzo siikumbuki
 
Mtaji kwenye freelancing unautumia wapi?
Sijui kwako, kwa huduma nitazo base nazo mimi ninahitaji
1)Latest PC
2)Smart phone
3)Ada ya kujifunza baadhi ya Skills
4)Ada ya kujifunza Some Technical Skills
5)Nauri from one place to another I.e TEMEKE to Makumbusho.
6)

Vyote sio bule hivyo need money.
 
Nauli ya kwenda makumbusho kufanya nini mkuu?
 
Nauli ya kwenda makumbusho kufanya nini mkuu?
Aisee kuna jamaangu anajingulisha na baadhi ya Skills ambazo nahitaji kuzijua Zita add value kwenye huduma nazotaka toa.

Elewa hiki nimeandika baada ya mdau kuuliza pesa inaitajika wapi, ndio maana nikaanza inategemea wewe unaBase wapi.
 
Nimekupata sana mkuu.
 
Apply payoneer, mimi nikokwenye freelancing mwaka wa 5 sasa, mkuu ukiifanya right kuna ela maana nikiingiza ela ndogo kwa mwezi si chini ya dollar 800 ila kuna muda inaenda mpaka 2000 hapo na kwa mitandao miwili tu.

Na nategemea itaongezeka kuna issue naziset zikikaa sawa ninajua itapanda hata mara 5.

Na kumbuka sikatwi kodi kwasababu serikali haijaniwekea miundombinu mizuri ya kufanya hivyo

Moja kati ya watu wanaonilipa vizuri ni hawa hii ni website yao Stock Square D products: qo breakers & Schneider electric: sale for panels, meter, pressure switch, Contactors & transformers
lakini mimi nina deal na hii
https://ecocircuitbreaker.com/blog2/ blog yao aricle yoyote utakayoikuta kwenye hii blog nimeiandika mimi hapa na wananilipa vizuri sana tu
Oy mkuu hivi five years ago ulitumia Nini kua approved maana mm Sina passport, license, hata kitambulisho cha taifa kwa sababu kimeshatoka ila nilijiandikishia dar nami nipo mkoani je Kuna namna nyingine ya kua approved.
 
Apply payoneer, mimi nikokwenye freelancing mwaka wa 5 sasa, mkuu ukiifanya right kuna ela maana nikiingiza ela ndogo kwa mwezi si chini ya dollar 800 ila kuna muda inaenda mpaka 2000 hapo na kwa mitandao miwili tu.

Na nategemea itaongezeka kuna issue naziset zikikaa sawa ninajua itapanda hata mara 5.

Na kumbuka sikatwi kodi kwasababu serikali haijaniwekea miundombinu mizuri ya kufanya hivyo

Moja kati ya watu wanaonilipa vizuri ni hawa hii ni website yao Stock Square D products: qo breakers & Schneider electric: sale for panels, meter, pressure switch, Contactors & transformers
lakini mimi nina deal na hii
https://ecocircuitbreaker.com/blog2/ blog yao aricle yoyote utakayoikuta kwenye hii blog nimeiandika mimi hapa na wananilipa vizuri sana tu
Salute kwako mkuu....smart!
 
Oy mkuu hivi five years ago ulitumia Nini kua approved maana mm Sina passport, license, hata kitambulisho cha taifa kwa sababu kimeshatoka ila nilijiandikishia dar nami nipo mkoani je Kuna namna nyingine ya kua approved
Leseni na bank statement.
 
Back
Top Bottom