sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Habari zenu wadau.
Nimekaa hapa naotea jua nikiwa nachezea chezea simu instagram nisipitwe na nani kamwambia nani nini na amejibiwa vipi kama ilivyozoeleka.
Sasa nimeona kidogo niingie kuperuzi namna ya kuingiza mkwanja ili bando langu lisiishe kiboya.
Nimeperuzi peruzi nikakutana na hizi kazi za mitandaoni za freelancing na kweli watu wanachapa pesa,
Nilikuwa nafanya blogging ila google walipofanya updates zao watembelraji wamepungua sana pesa hakuna.
Hadi leo 2020 changamoto ni namna ya kupokea pesa hapa bongo ila nimejiongeza nipo kwenye harakati ya kusajili line ya safaricom ambayo inapokea pesa bila matatizo na unatoa kwenye vibanda vya mpesa.
Sasa kuna mtu moja hapo zamani aliwahi kusema ukipewa masaa kumi kukata mti ni heri ulinoe hata kwa masaa tisa ili utumie saa kukata mti kwa wepesi.
Naomba tujuzane basi humu ndani kuwe na mgongano wa mawazo,najua wapo weupe kama mimi ambao ndio kwanza hatujui, wengine wana taarifa muhimu na wengine wanapokea pesa walishaanza kitambo
GLOBAL CITIZEN
Chief-Mkwawa
Njunwa Wamavoko