Freelancing: Tushauriane hapa mbinu za kuingiza Mkwanja

Sasa kaka...unaweza tusaidia unaanzaje kazi kwa hyo wordpress...kwa mfano ili uandike article inand uwaombe? au inakuwaje...naomba ufafanuzi plz
 
wakuu nmetumia hadi sasa token za dola 3 nmeomba kazi kama 12 lakini sijapata, naona namaliza tu token zangu maana ili upate kazi inabidi utumie hizi token kwa sisi ambao hatuna invites. nisaidieni tafadhali

Nmejikita zaidi kwenye data entry, collection, classification na validation hususnai
 

Kuna uzi niliandika una title hiyo hapo chini. Pitia utafahamu kwanini unakosa kazi. Ukihitaji msaaza zaidi nitumie ujumbe.

Upwork : Sababu 4 kwanini unakosa kazi (from verified member with 90%+ job success rate)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…