Freelancing: Tushauriane hapa mbinu za kuingiza Mkwanja

Apply payoneer, mimi nikokwenye freelancing mwaka wa 5 sasa, mkuu ukiifanya right kuna ela maana nikiingiza ela ndogo kwa mwezi si chini ya dollar 800 ila kuna muda inaenda mpaka 2000 hapo na kwa mitandao miwili tu.

Na nategemea itaongezeka kuna issue naziset zikikaa sawa ninajua itapanda hata mara 5.

Na kumbuka sikatwi kodi kwasababu serikali haijaniwekea miundombinu mizuri ya kufanya hivyo

Moja kati ya watu wanaonilipa vizuri ni hawa hii ni website yao Stock Square D products: qo breakers & Schneider electric: sale for panels, meter, pressure switch, Contactors & transformers
lakini mimi nina deal na hii
https://ecocircuitbreaker.com/blog2/ blog yao aricle yoyote utakayoikuta kwenye hii blog nimeiandika mimi hapa na wananilipa vizuri sana tu
Sasa kaka...unaweza tusaidia unaanzaje kazi kwa hyo wordpress...kwa mfano ili uandike article inand uwaombe? au inakuwaje...naomba ufafanuzi plz
 
wakuu nmetumia hadi sasa token za dola 3 nmeomba kazi kama 12 lakini sijapata, naona namaliza tu token zangu maana ili upate kazi inabidi utumie hizi token kwa sisi ambao hatuna invites. nisaidieni tafadhali

Nmejikita zaidi kwenye data entry, collection, classification na validation hususnai
Apply payoneer, mimi nikokwenye freelancing mwaka wa 5 sasa, mkuu ukiifanya right kuna ela maana nikiingiza ela ndogo kwa mwezi si chini ya dollar 800 ila kuna muda inaenda mpaka 2000 hapo na kwa mitandao miwili tu.

Na nategemea itaongezeka kuna issue naziset zikikaa sawa ninajua itapanda hata mara 5.

Na kumbuka sikatwi kodi kwasababu serikali haijaniwekea miundombinu mizuri ya kufanya hivyo

Moja kati ya watu wanaonilipa vizuri ni hawa hii ni website yao Stock Square D products: qo breakers & Schneider electric: sale for panels, meter, pressure switch, Contactors & transformers
lakini mimi nina deal na hii
https://ecocircuitbreaker.com/blog2/ blog yao aricle yoyote utakayoikuta kwenye hii blog nimeiandika mimi hapa na wananilipa vizuri sana tu
Kwa wanaoanza kabisa....check out this thread I wrote months ago Beginner Level : Je, Online Freelancing ni nini? Kazi zinatoka wapi? Ni Skills gani zinahitajika? Nitalipwaje pesa? Jifunze kila kitu hapa
Beginner Level : Je, Online Freelancing ni nini? Kazi zinatoka wapi? Ni Skills gani zinahitajika? Nitalipwaje pesa? Jifunze kila kitu hapa
 
wakuu nmetumia hadi sasa token za dola 3 nmeomba kazi kama 12 lakini sijapata, naona namaliza tu token zangu maana ili upate kazi inabidi utumie hizi token kwa sisi ambao hatuna invites. nisaidieni tafadhali

Nmejikita zaidi kwenye data entry, collection, classification na validation hususnai

Kuna uzi niliandika una title hiyo hapo chini. Pitia utafahamu kwanini unakosa kazi. Ukihitaji msaaza zaidi nitumie ujumbe.

Upwork : Sababu 4 kwanini unakosa kazi (from verified member with 90%+ job success rate)
 
Back
Top Bottom