Tetesi: Freeman Aikael Mbowe kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima (PhD)

Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kupewa kutunukiwa degree ya Udakitari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini marekani mwezi February 2024.
Kama ni kweli tumuombee.
Tumpate Dr Freeman Aikael Mbowe!!
Mbowe kusoma PPE( political, Philosophy and Economics)

Mbowe kasoma University of Cumbria MBA in Leadership and sustainability

Na sasa hivi Anasoma International Relation Yuko mwakawa Pili Open University

Kwahyo sioni Tatizo akipewa Hiyo Honorarity
 
Bado kuwekewa ubongo wa bandia tu 😂
 
Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udakitari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini marekani mwezi February 2024.
Kama ni kweli tumuombee.
Tumpate Dr Freeman Aikael Mbowe!!
Ok, lakini ameshalipia fee yake $3000?
Wimbi lilianza kwa vihiyo wa ccm kuzinunua naona kibao kimegeuka sasa.
 
Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udakitari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini marekani mwezi February 2024.
Kama ni kweli tumuombee.
Tumpate Dr Freeman Aikael Mbowe!!
Wamechelewa sana kumpa

İle filmee ya 2015 na mauzo yale…. Si mchezo
 
Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udakitari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini marekani mwezi February 2024.
Kama ni kweli tumuombee.
Tumpate Dr Freeman Aikael Mbowe!!
Unless ni chuo cha maana na cha kweli, Mbowe asikubali kutunukiwa hayo mambo kwani atakuwa amehalalisha utapeli huu wa ma-digrii ya heshima yasiyokuwa na maana yoyote.
 
Back
Top Bottom