Tetesi: Freeman Aikael Mbowe kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima (PhD)

Tetesi: Freeman Aikael Mbowe kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima (PhD)

Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini Marekani mwezi February 2024.

Kama ni kweli tumuombee.

Tumpate Dr. Freeman Aikael Mbowe!!
Mwenyekiti wa CCM yeye àna mbili, sasa zamu ya division zero nae kupata PhD.
Dr. Aboubakar Ayatollah Mbowe
 
Aliyepata ziro form six anaenda kupata PhD? Ama kweli dunia haiko fair
wewe ulipofeli ubongo wako ukakoma kufikiri.
mbowe alifeli lakini akatumia ubongo kuendelea kujiendekeza.
uliishia kucheza vigodoro huna hata aibu
 
Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini Marekani mwezi February 2024.

Kama ni kweli tumuombee.

Tumpate Dr. Freeman Aikael Mbowe!!
Failure wa ff
 
Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini Marekani mwezi February 2024.

Kama ni kweli tumuombee.

Tumpate Dr. Freeman Aikael Mbowe!!
Apewe na P.hD. ya king'ang'anizi wa uenyekiti.
 
Mbowe kusoma PPE( political, Philosophy and Economics)

Mbowe kasoma University of Cumbria MBA in Leadership and sustainability

Na sasa hivi Anasoma International Relation Yuko mwakawa Pili Open University

Kwahyo sioni Tatizo akipewa Hiyo Honorarity
Hii Asali anayolamba awezi achia Uenyekiti ni tamu kweli kweli.
 
Aliyepata ziro form six anaenda kupata PhD? Ama kweli dunia haiko fair
Hii sio Kweli mkuu Ni vema ungefatilia vizuri Mbowe ana Masters MBA ya Leadership and stability kutoka cambria University U.k..

Na pia sasa hivi anasoma Mwaka wa pili Open university Bachelor ya International relation.. angalia jina namba 57
20240116_144131.jpg

20240116_144126.jpg
20240116_144129.jpg

Msipende kupotosha
 
Unless ni chuo cha maana na cha kweli, Mbowe asikubali kutunukiwa hayo mambo kwani atakuwa amehalalisha utapeli huu wa ma-digrii ya heshima yasiyokuwa na maana yoyote.
Yeah ana elimu kubwa sana
 
Aliyepata ziro form six anaenda kupata PhD? Ama kweli dunia haiko fair
Mama kizimkazi hana elimu yoyote kapata uraisi na u profesa vyeo vyote kavipata kwa njia ya kujipenyeza kwenye duduwasha la nguo za kijani
 
Punguza chuki
Siwezi kuwa na chuki na DJ,

Mimi pia nilikua DJ kama yeye.

Na sina chuki na Chadema ila siwaoni tu kama ni watu sahihi kupewa dhamana ya kuliongoza Taifa.

Bado wanasafari ndefu sana kufikia kuwa taasisi imara ya kushika dola.

Chadema bado ni chama kilichojaa uanaharakati mwingi.
 
Hujui maana ya vyama vya siasa.
Rudi katafute vitabu usome
 
Aliyepata ziro form six anaenda kupata PhD? Ama kweli dunia haiko fair
Wewe kiajuza huna ulijualo kuhusu mifumo ya elimu. Nenda necta kaulizie taratibu za kusafisha cheti zikoje. Kama ali-resit je?
Pitia na pale time ya vyuo vikuu wakuelimishe juu ya wenye matokeo ya O level yanayotakiwa kujiunga na elimu ya chuo kikuu.
Unawaza kindezi na kizamani Sana!
 
Hujui maana ya vyama vya siasa.
Rudi katafute vitabu usome
Chadema ni wanaharakati sio taasisi yenye nia ya kushika dola.

Bado haijafikia hiyo hadhi ya kuwa chama cha siasa kinachokaribia kushika dola.
 
Back
Top Bottom