peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mbowe kusoma PPE( political, Philosophy and Economics)Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kupewa kutunukiwa degree ya Udakitari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini marekani mwezi February 2024.
Kama ni kweli tumuombee.
Tumpate Dr Freeman Aikael Mbowe!!
Bado kuwekewa ubongo wa bandia tu 😂Mbowe kusoma PPE( political, Philosophy and Economics)
Mbowe kasoma University of Cumbria MBA in Leadership and sustainability
Na sasa hivi Anasoma International Relation Yuko mwakawa Pili Open University
Kwahyo sioni Tatizo akipewa Hiyo Honorarity
Sijaelewa mkuu umemaanisha nini?Bado kuwekewa ubongo wa bandia tu 😂
He deserves.He deserve!
Ok, lakini ameshalipia fee yake $3000?Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udakitari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini marekani mwezi February 2024.
Kama ni kweli tumuombee.
Tumpate Dr Freeman Aikael Mbowe!!
Muhimu TCU wawe wapole kama Kwa yule bibiOk, lakini ameshalipia fee yake $3000?
Wamechelewa sana kumpaKuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udakitari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini marekani mwezi February 2024.
Kama ni kweli tumuombee.
Tumpate Dr Freeman Aikael Mbowe!!
Unless ni chuo cha maana na cha kweli, Mbowe asikubali kutunukiwa hayo mambo kwani atakuwa amehalalisha utapeli huu wa ma-digrii ya heshima yasiyokuwa na maana yoyote.Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udakitari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini marekani mwezi February 2024.
Kama ni kweli tumuombee.
Tumpate Dr Freeman Aikael Mbowe!!
Secretary kapewa PhD mbona hukushangaaAliyepata ziro form six anaenda kupata PhD? Ama kweli dunia haiko fair