Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Mwenyekiti wa CCM yeye àna mbili, sasa zamu ya division zero nae kupata PhD.Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini Marekani mwezi February 2024.
Kama ni kweli tumuombee.
Tumpate Dr. Freeman Aikael Mbowe!!
anastahili sana tena kuliko alizopewa mpendwa wetu sana Mama yetu SamiaKuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini Marekani mwezi February 2024.
Kama ni kweli tumuombee.
Tumpate Dr. Freeman Aikael Mbowe!!
wewe ni kunguru.chadema mbona hatuwaoni barabarani papasi wakubwa
Afadhali umemsahihisha.Kiingereza ni tatizo kubwa.He deserves.
wewe ulipofeli ubongo wako ukakoma kufikiri.Aliyepata ziro form six anaenda kupata PhD? Ama kweli dunia haiko fair
Kama wewemjinga tu yule
Failure wa ffKuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini Marekani mwezi February 2024.
Kama ni kweli tumuombee.
Tumpate Dr. Freeman Aikael Mbowe!!
Apewe na P.hD. ya king'ang'anizi wa uenyekiti.Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini Marekani mwezi February 2024.
Kama ni kweli tumuombee.
Tumpate Dr. Freeman Aikael Mbowe!!
Typist amekuwa mkuu wa nchi,hapo dunia ipo fair!!??Aliyepata ziro form six anaenda kupata PhD? Ama kweli dunia haiko fair
Hii Asali anayolamba awezi achia Uenyekiti ni tamu kweli kweli.Mbowe kusoma PPE( political, Philosophy and Economics)
Mbowe kasoma University of Cumbria MBA in Leadership and sustainability
Na sasa hivi Anasoma International Relation Yuko mwakawa Pili Open University
Kwahyo sioni Tatizo akipewa Hiyo Honorarity
Hii sio Kweli mkuu Ni vema ungefatilia vizuri Mbowe ana Masters MBA ya Leadership and stability kutoka cambria University U.k..Aliyepata ziro form six anaenda kupata PhD? Ama kweli dunia haiko fair
Kumbe ndiyo maana kila anachoongea ni ziro ziro tu kumbe ni muendelezo wa yaliyopitaAliyepata ziro form six anaenda kupata PhD? Ama kweli dunia haiko fair
Yeah ana elimu kubwa sanaUnless ni chuo cha maana na cha kweli, Mbowe asikubali kutunukiwa hayo mambo kwani atakuwa amehalalisha utapeli huu wa ma-digrii ya heshima yasiyokuwa na maana yoyote.
Punguza chukiDr. Dj , Mwenyekiti wa milele, Al haji Abubakari Mboye.
Mama kizimkazi hana elimu yoyote kapata uraisi na u profesa vyeo vyote kavipata kwa njia ya kujipenyeza kwenye duduwasha la nguo za kijaniAliyepata ziro form six anaenda kupata PhD? Ama kweli dunia haiko fair
Siwezi kuwa na chuki na DJ,Punguza chuki
Hujui maana ya vyama vya siasa.Siwezi kuwa na chuki na DJ,
Mimi pia nilikua DJ kama yeye.
Na sina chuki na Chadema ila siwaoni tu kama ni watu sahihi kupewa dhamana ya kuliongoza Taifa.
Bado wanasafari ndefu sana kufikia kuwa taasisi imara ya kushika dola.
Chadema bado ni chama kilichojaa uanaharakati mwingi.
Wewe kiajuza huna ulijualo kuhusu mifumo ya elimu. Nenda necta kaulizie taratibu za kusafisha cheti zikoje. Kama ali-resit je?Aliyepata ziro form six anaenda kupata PhD? Ama kweli dunia haiko fair
Chadema ni wanaharakati sio taasisi yenye nia ya kushika dola.Hujui maana ya vyama vya siasa.
Rudi katafute vitabu usome