Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ni Taarifa tunayoipeleka kwa Umma wa Watanzania na nchi Jirani, kwamba yule Mwenyekiti mpya wa DUA, ambaye pia ni mwamba wa siasa za kisasa na nguzo ya amani Nchini Tanzania, Freeman Mbowe, Tayari amekwishaanza Majukumu yake mapya.
Freeman Mbowe, anayejulikana pia kama Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar, kwa sasa anatajwa kwamba ndiye Mtanzania anayeheshimiwa zaidi na Jumuiya ya Kimataifa.
Hebu tumia muda wako kidogo ili kumtakia heri na fanaka.