Freeman Mbowe aanza Majukumu ya Kimataifa

Fuso, sijawahi ila najiongoza mwenyewe. Nina maono ya kujiongoza mimi na familia yangu. A man of vision.
 
unajua huyu mwamba wanaomwelewa ni wale werevu sana waona mbali mzee mbowe anaona mbele miaka mia ijayo yeye angalii faida ya leo anaangalia hata baada yake faida ni ipi amejenga jina ndani na nje ya nchi hakuna kazi ngumu kama kujenga jina ni mtaji kwake na kizazi chake , kuna watu wanamponda ili wapate vyeo lakini mwisho ni baada ya teuzi kuisha lakini mbowe kila siku mtandaoni lazima jina lake litajwe hata kwa mazuri mabaya kikubwa nimekiona kwakwe ni hekima aliyojaliwa kaka huyu na busara hana kinyongo na chuki yàani sisi enzi zetu tulinawaita watu kama mwamba mtoto wa mjini hata umpige kofi yeye atacheka tu ila atakusubiri kwenye mataa mwamba amewajengea wanaye mafasi kubwa mnoo kwa atakaye fuata nyayo za baba yake he/she became the big star
 
Mbowe ndo Nyerere wa zama hizi.

Blessed be him. Ameeeen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…