Pre GE2025 Freeman Mbowe aanza ziara ya Kaskazini kwa Chopa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ameanza Ziara ya Siku 4 katika Majimbo 30 ya Kanda ya Kaskazini akitumia Usafiri wa helicopter

Tuzidi kumuombea

Dominica njema πŸ˜„
Atamjibu Lissu vibaya sana,Lissu ajiandae kujibu na kuanika ufisadi wa Mbowe sababu Lissu ndio mtu pekee anayeaminiwa ndani na nje ya chama chake.
 
Huyu jamaa angesomea urubani tu ili ndoto yake ya kuwa angani itimie.

Maana kuzunguka na helicopter inaelekea ndio ndoto na hobby yake kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…