Pre GE2025 Freeman Mbowe aanza ziara ya Kaskazini kwa Chopa

Pre GE2025 Freeman Mbowe aanza ziara ya Kaskazini kwa Chopa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Apumzike, abaki kuwa mshauri wa chama (wazee wa chama)
Mbowe kafanya mengi mazuri chadema lakini Kwa sasa siasa zinakua owned na generation nyingine, chadema toka miaka ile inaanzia magomeni Kwa macheni na ikaja kuhamia ufipa ilikua kwanza haikubaliki Kwa wazee, kidogo akina Bob makhan, wakaipenyeza hadi wazee wakaikubali, na ikaja vijana wakapata imani nayo, Kwa sasa wapiga kura wengi ni vijana watu kama lema, heche, msigwa, pambalu, hao ndio wangeendeleza moto wa vijana ulioasisiwa na akina zitto, wangwe, kafulila, chama kinachokwa ilihali uwezekano wa kukiokoa ulikuepo
 
Kwanin ccm mnataka mbowe ajiuzulu mbona kinana toka niko shule ya msingi hadi leo nina miaka40 bado kinana na kiongozi wa ccm??
 
Back
Top Bottom