Pre GE2025 Freeman Mbowe aanza ziara ya Kaskazini kwa Chopa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe anamfanyia ukatili Lissu. Yaani ni sawa mko familia moja halafu mmoja anakula kuku huku mwingine anashindia makande.
Naona unacheza mind game ukitegemea utatupoteza maboya.
 
Apumzike, abaki kuwa mshauri wa chama (wazee wa chama)
Mbowe kafanya mengi mazuri chadema lakini Kwa sasa siasa zinakua owned na generation nyingine, chadema toka miaka ile inaanzia magomeni Kwa macheni na ikaja kuhamia ufipa ilikua kwanza haikubaliki Kwa wazee, kidogo akina Bob makhan, wakaipenyeza hadi wazee wakaikubali, na ikaja vijana wakapata imani nayo, Kwa sasa wapiga kura wengi ni vijana watu kama lema, heche, msigwa, pambalu, hao ndio wangeendeleza moto wa vijana ulioasisiwa na akina zitto, wangwe, kafulila, chama kinachokwa ilihali uwezekano wa kukiokoa ulikuepo
 
Kwanin ccm mnataka mbowe ajiuzulu mbona kinana toka niko shule ya msingi hadi leo nina miaka40 bado kinana na kiongozi wa ccm??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…