Freeman Mbowe afika Kizimkazi kumfariji Samia Suluhu Hassan aliyefiwa na Mumewe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe ameonekana Kizimkazi akitoa pole kwa Samia Suluhu kufuatia kifo cha mumewe

Mbowe ambaye anafahamika pia kama USTAADH ABOUBAKAR, ameonekana akiwa nadhifu kwa kuvalia kanzu maridadi na bharaghashia ya bei kubwa ndani ya viunga hivyo

Kabla ya Mbowe wengine waliofika hapo ni Aunt Ezekiel na kundi lake pamoja na Diamond Platnumz

 
Amuambie, β€œpole, fazafaka; however, kifo ni kifo tu”!
 

Ustaadh AbubakarπŸ‘†πŸΎ
 
Mboe sio chadema , kwa mara 1 ktk historia ya tz ktk siasa mwenyekiti mstaafu anakisusia chama alichokitumikia miaka 40 ya uhai wake
 
Hajawahi kufika Ukonga. Bull shit.
 
ok.πŸ’
 
The best Chadema leader ever after Mzee Edwin Mtei! πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…