Freeman Mbowe afika Kizimkazi kumfariji Samia Suluhu Hassan aliyefiwa na Mumewe

Freeman Mbowe afika Kizimkazi kumfariji Samia Suluhu Hassan aliyefiwa na Mumewe

Hata Mwenyekiti wa Kwanza wa Chadema Mzee Mtei alikuwa karibu sana na CCM ndio maana Chadema ilikuwepo. Uliishawahi kusikia Mzee Mtei kakamatwa kama ilivyokuwa Mzee Fundikira, Prof. Lipumba au Mzee Lyatonga Mrema?

Leo viongozi wajinga wajinga wa Chadema wasiojua Chadema ilitoka wapi, eti "Tutakinukisha na kuzuia Uchaguzi Mkuu usifanyike"! Nyambafu!!!

Leo wanyea kwenye mtondoo halafu wanalialia, kesi ya uongo! Nyooooooooo!!!!!
Kwahiyo Kwa mtazamo wako kiongozi mzuri WA upinzani ni yule asiyekamatwa na na polisi.? Unajua Kwa nini huwa wanakamatwa. Kumbuka Kila zama inakitabu chake. Mbowe tunae na tunatamba nae ila Sasa Hana Tena power, Hana anachoweza kuisaidia CCM.
 
Kwahiyo Kwa mtazamo wako kiongozi mzuri WA upinzani ni yule asiyekamatwa na na polisi.? Unajua Kwa nini huwa wanakamatwa. Kumbuka Kila zama inakitabu chake. Mbowe tunae na tunatamba nae ila Sasa Hana Tena power, Hana anachoweza kuisaidia CCM.
Ukiona Kiongozi wa Upinzani anakamatwakamatwa jua huyo ni mjinga na anafanya siasa za upinzani za kishamba!
 
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe ameonekana Kizimkazi akitoa pole kwa Samia Suluhu kufuatia kifo cha mumewe

Mbowe ambaye anafahamika pia kama USTAADH ABOUBAKAR, ameonekana akiwa nadhifu kwa kuvalia kanzu maridadi na bharaghashia ya bei kubwa ndani ya viunga hivyo

Kabla ya Mbowe wengine waliofika hapo ni Aunt Ezekiel na kundi lake pamoja na Diamond Platnumz

View attachment 3667865
Hii mbwa ilichelewesha sana ukombozi wa hii nchi...

Uchaguzi wa January 2025 umetufumbua macho... kuwa kwenye ndoa yetu ya ukombozi kulikuwa na mtoto wao mtiifu! Ambae ni hii mbwa!
 
Mama aliposema kuna mwenzetu mmoja tunaendelea kusikiliza matakwa yake hakukurupuka.

Yeye na Ustadhi Mbowe wanajua wanachofanya.
154556.jpg

😁😁
 
Chama chake kilimsusa hivyo kaamua kuwa raia huru. Mbowe ni mmoja wa waasisi wa chama na aliyekiongoza kwa miaka zaidi ya 20.

Amefungwa, amenyang'anywa biashara zake, amewapigania wanachama wenzake n.k. Leo wanamuita msaliti, aliyelambishwa asali, CCM na maneno mengi zaidi ya kebehi.

Halafu ati mnashangaa kuwa amejikalia pembeni na kufanya kile ambacho nafsi yake inamuongoza.

Chadema ni chama kikubwa na hakimuhitaji Mbowe. Pambaneni na hali yenu, achaneni na Mbowe. Amewaachia Chama, muonyesheni kuwa mnaweza bila yeye.

Amandla...
Kwa jinsi wanavyohangaika na Mbowe, nahisi ndani kwao hakukaliki
 
Back
Top Bottom