Freeman Mbowe afika Kizimkazi kumfariji Samia Suluhu Hassan aliyefiwa na Mumewe

Wakati wapenda mabadiliko tulipo shauri apumzike kugombea uenyekiti kwa awamu ya tatu mfululizo, kuna makamanda humu jukwaani walitutukana sana. Ukweli umeanza kuonekana.
 
Safi.

Je ni lazima uvae mavazi ya kiislamu ukienda Kumpa pole Rais? Naona Kila mtu anavaa hivyo
 
Mboe sio chadema , kwa mara 1 ktk historia ya tz ktk siasa mwenyekiti mstaafu anakisusia chama alichokitumikia miaka 40 ya uhai wake
Chama chake kilimsusa hivyo kaamua kuwa raia huru. Mbowe ni mmoja wa waasisi wa chama na aliyekiongoza kwa miaka zaidi ya 20.

Amefungwa, amenyang'anywa biashara zake, amewapigania wanachama wenzake n.k. Leo wanamuita msaliti, aliyelambishwa asali, CCM na maneno mengi zaidi ya kebehi.

Halafu ati mnashangaa kuwa amejikalia pembeni na kufanya kile ambacho nafsi yake inamuongoza.

Chadema ni chama kikubwa na hakimuhitaji Mbowe. Pambaneni na hali yenu, achaneni na Mbowe. Amewaachia Chama, muonyesheni kuwa mnaweza bila yeye.

Amandla...
 
Freeman angeweza kupumzika kulinda Legacy yake.

Mbona kama ni vichenchi vya kula anavyo. Anatafuta nini hasa.
 
Mbowe atakuwa kachungulia fursa ya first Gentleman kwa single mother.
 
Yote haya ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…