Freeman Mbowe afika Kizimkazi kumfariji Samia Suluhu Hassan aliyefiwa na Mumewe

Kila kitu kwake ni fursa,alipokua mwenyekiti watu walivuja jasho na damu na wengine kupoteza maisha yeye akiwa kiongozi. Alikitumia vizuri chama kutengeneza hela na sio kweli kwamba alikua akikisaidia chama.
Sasa hv karudi kwenye biashara kwa kishindo na si ajabu anatumia nafasi ya kukubalika upande huo na kukwepa kodi za kishindo. Kuna uwezekano akaja kuwazidi wafanyabiashara walio anza zamani kwa spidi ya Kizimkazi
 

Huyu jamaa sasa haeleweki kabisa. Chadema wamfukuze tu Chama ili spate sababu ya kuchukua uteuzi.
 
Ni kweli alijitahidi sana kuwa karibu na ccm ndoma maana CCM iponae
Hata Mwenyekiti wa Kwanza wa Chadema Mzee Mtei alikuwa karibu sana na CCM ndio maana Chadema ilikuwepo. Uliishawahi kusikia Mzee Mtei kakamatwa kama ilivyokuwa Mzee Fundikira, Prof. Lipumba au Mzee Lyatonga Mrema?

Leo viongozi wajinga wajinga wa Chadema wasiojua Chadema ilitoka wapi, eti "Tutakinukisha na kuzuia Uchaguzi Mkuu usifanyike"! Nyambafu!!!

Leo wanyea kwenye mtondoo halafu wanalialia, kesi ya uongo! Nyooooooooo!!!!!
 
Joyce Mukya katika ubora wako
 
Mboe sio chadema , kwa mara 1 ktk historia ya tz ktk siasa mwenyekiti mstaafu anakisusia chama alichokitumikia miaka 40 ya uhai wake
Siamini kuwa Mbowe amekisusia chama.
Jitihada kubwa zimefanyika kukichukua chama au kukiua, lakini zote zimeshindikana.
Huko si kususia.
 
Actually, kwa haya uliyoandika hapa, leo ninakubaliana na wewe kiasi fulani.

Mbowe alipambana sana kabla ya kuingizwa gerezani. Alipitia machungu mengi kama uliyoyaeleza; hasa wakati wa Magufuli.

Mimi nadharia yangu ni tofauti na yako; kwamba CHADEMA ndio waliomsababishia kuvunjika moyo baada ya masulubu mengi aliyokutana nayo kwenye uongozi wake; badala yake ni mwitikio wa waTanzania kiujumla kwa juhudi zake na chama chake.
Alifika mahali ikabidi ajiulize kwa nini waTanzania hawaoni na kuunga mkono juhudi za chama, hata wakati wakisurubiwa waziwazi. Mateso yote haya wananchi hawayaoni?

The last straw was his time in jail for eight months.

Baada ya Samia kumlainisha; hakuona sababu tena ya kuendelea na maumivu kwa watu wasiokuwa na shukrani.

Haiba za uongozi zinakuja katika njia mbalimbali. Kuna viongozi ambao wanajitoa kila kitu kupigania wanachokiamini maishani mwao.
Mtu kama Tundu Lissu; baada ya zile risasi mwilini mwake, hiyo ilikuwa ni njia kuu kabisa ya kumwondoa katika malengo. Na kama hiyo haitoshi, tazama sasa yanayomkabili

Kwa haya niliyoyaweka hapa, siku hizi inaniwia vigumu sana kumlaumu Mbowe kwa kukata tamaa kwake.
Lawama pekee niliyobaki nayo kwake ni huku kujidhalilisha anakokufanya sasa hivi..
 
Mbowe ana akili, ni mwuungwana, hafanyi siasa za kishamba, za visasi km nyie makapuku. Alifanya kosa kubwa kuwaachia chama washamba maskini km nyie
 
Pambaneni na hali yenu, achaneni na Mbowe. Amewaachia Chama, muonyesheni kuwa mnaweza bila yeye.
Mbona ni rahisi sana. Mwambie azungumze na huyo rafiki yake, CHADEMA waachwe huru kufanya shughuli zao za kisiasa. Ikitokea hivyo, rudi hapa na hiyo 'taunting' unayotumia hapa, kama itaendelea kuwepo.

Tokea viongozi wapya wa chama wachukue uongozi hakuna hata siku moja waliyoachwa waonyeshe uongozi wao ndani ya chama na kwa waTanzania wote.
 
Amesafiri hadi kizimkazi Zanzibar.
Ni jambo jema.
Ila kwenda kwa Lisu hapohapo Dar hataki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…