Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
ok sawaTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , mtu anayetajwa kama muasisi wa siasa za Kisasa kwenye eneo la maziwa Makuu , leo tarehe 14/10/2023 amehudhuria Ibada maalum kwenye kanisa la TAG REVIVAL CHURCH , Kinondoni .
Ibada hiyo Maalum ina lengo la kuweka Jiwe la msingi kwenye Ujenzi wa Kanisa la Kisasa .
View attachment 2781758View attachment 2781759View attachment 2781761
wanakwayaNa hao hapo mbele ndio wahandisi au!!!
Mbowe ni KKKT , Lissu ni Mkatoliki .Sorry hivi Mbowe huwaga ni mkatoliki ama kkkt? Lissu?
ThankyuMbowe ni KKKT , Lissu ni Mkatoliki .
π huu unabii na ushuhuda ni moto sana ndugu yake Mungu,Hakuna mwanaccm Mcha Mungu
AminaNi jambo jema
Kwa baba askofu Dr Massawe
Hapo ndipo nilipowekewa Mikono ya Baraka na baba askofu Moses Kulola na kupata Wokovu
Ni furaha kumuona Freeman Mbowe nyumbani kwa Bwana π
Hakuna Mtenda dhambi ambaye ni Mcha Munguπ huu unabii na ushuhuda ni moto sana ndugu yake Mungu,
Kuna mchakato wa kumtangaza Nyerere kuwa ni Mtalatifu (it can take anything up to 1,000 years). Mkatoliki tundu alimentary Nyerere "huyu myakatifu wenu" na Magufuli akasema "anajiita Mkatoliki". Hivi yuko wapi? Bado anawatetea Wamasai wa Loliondo wabaki kuishi porini?Mbowe ni KKKT , Lissu ni Mkatoliki .
Kuwa Muasisi wa ccm tu tayari kumeondoa Nyerere n huo unaoitwa Utakatifu , haiwezekani Mwanaccm kuwa MtakatifuKuna mchakato wa kumtangaza Nyerere kuwa ni Mtalatifu (it can take anything up to 1,000 years). Mkatoliki tundu alimentary Nyerere "huyu myakatifu wenu" na Magufuli akasema "anajiita Mkatoliki". Hivi yuko wapi? Bado anawatetea Wamasai wa Loliondo wabaki kuishi porini?
Askofu Dr. Rogate Swai wewe unamuita Massawe..Ni jambo jema
Kwa baba askofu Dr Massawe
Hapo ndipo nilipowekewa Mikono ya Baraka na baba askofu Moses Kulola na kupata Wokovu
Ni furaha kumuona Freeman Mbowe nyumbani kwa Bwana π
Pastor Swai wa TAG kinondoni ni mmoja ya wachungaji wanyenyekevu na wenye maono makubwa katika kumtumikia Mungu.Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , mtu anayetajwa kama muasisi wa siasa za Kisasa kwenye eneo la maziwa Makuu , leo tarehe 14/10/2023 amehudhuria Ibada maalum kwenye kanisa la TAG REVIVAL CHURCH , Kinondoni .
Ibada hiyo Maalum ina lengo la kuweka Jiwe la msingi kwenye Ujenzi wa Kanisa la Kisasa .
View attachment 2781758View attachment 2781759View attachment 2781761
Ndio huyo huyo ππAskofu Dr. Rogate Swai wewe unamuita Massawe..
Mkuu umeokoka? DuuuNi jambo jema
Kwa baba askofu Dr Massawe
Hapo ndipo nilipowekewa Mikono ya Baraka na baba askofu Moses Kulola na kupata Wokovu
Ni furaha kumuona Freeman Mbowe nyumbani kwa Bwana [emoji1]
Kitambo sana!Mkuu umeokoka? Duuu
hakuingia akiwa amelewa kweli? though mchungaji wa hapo namjua ni Swai, ni mmachame mwenzie. aokoke sasa sio kutafuta kuungwa mkono kwa kuhudhuria ibada tu, aokoke.Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , mtu anayetajwa kama muasisi wa siasa za Kisasa kwenye eneo la maziwa Makuu , leo tarehe 14/10/2023 amehudhuria Ibada maalum kwenye kanisa la TAG REVIVAL CHURCH , Kinondoni .
Ibada hiyo Maalum ina lengo la kuweka Jiwe la msingi kwenye Ujenzi wa Kanisa la Kisasa .
View attachment 2781758View attachment 2781759View attachment 2781761