Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
Sasa huyu I Adani Huwa anaenda kufanya Nini? Huyu jamaa ni boonge la mlevi wa bia kalikali mpaka zikampelekea kuvunjika mkono, ni mzinzi sana mpaka ameweka mademi zake kwenye vyeo pale chadema. Sijui haya makanisa Huwa lengo lake ni nini. Badala ya kumwalika mtu ambaye Hana makando kando wanamwalika mlevi, mzinzi na muuaji wa kila anayempinga.Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , mtu anayetajwa kama muasisi wa siasa za Kisasa kwenye eneo la maziwa Makuu , leo tarehe 14/10/2023 amehudhuria Ibada maalum kwenye kanisa la TAG REVIVAL CHURCH , Kinondoni .
Ibada hiyo Maalum ina lengo la kuweka Jiwe la msingi kwenye Ujenzi wa Kanisa la Kisasa .
View attachment 2781758View attachment 2781759View attachment 2781761