Freeman Mbowe ahudhuria Ibada Maalum katika Kanisa la TAG Kinondoni

Sasa huyu I Adani Huwa anaenda kufanya Nini? Huyu jamaa ni boonge la mlevi wa bia kalikali mpaka zikampelekea kuvunjika mkono, ni mzinzi sana mpaka ameweka mademi zake kwenye vyeo pale chadema. Sijui haya makanisa Huwa lengo lake ni nini. Badala ya kumwalika mtu ambaye Hana makando kando wanamwalika mlevi, mzinzi na muuaji wa kila anayempinga.
 
Kanisa lolote lililosheheni wachaga mi Huwa sisali kabisa hapo ni upigani tu in the name of Jesus kama fix tu
 
Ni wapi Mungu alikataza bia ?
 
Hivi hili ni kanisa la kule karibu na BAKWATA au ni kule Kinondoni B nyuma ya lile ghorofa refu la machungwa! maana huwa nayachanganya haya.
 

Aliwahi "kukulevya"!!??
Aliwahi "kukuzini"!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…