Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe leo 05/08/2024 Amehudhuria ibada ya kuaga mwili wa Mama Theresia, ambaye ni Mama Mzazi wa Halima Mdee, aliyewahi kuwa mbunge wa Chadema kabla ya kuvuliwa uanachama kwa makosa ya Aibu ya Usaliti. Kwa sasa Halima Mdee hana chama ila ni Mbunge wa viti maalum anayemwakilisha Spika wa Bunge.
Mbowe ameambatana na Meya wa Zamani wa Ubungo Boniface Jackob
Katika salamu zake kanisani hapo Mbowe amemuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu, ambaye amemtaja kwamba alikuwa mtu mwema
Viongozi hao wamehudhuria msiba huo kama wanavyohudhuria misiba mingine kama ule wa Lowassa na
Soma pia: Mama mzazi wa Halima Mdee afariki dunia
Mbowe ameambatana na Meya wa Zamani wa Ubungo Boniface Jackob
Katika salamu zake kanisani hapo Mbowe amemuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu, ambaye amemtaja kwamba alikuwa mtu mwema
Viongozi hao wamehudhuria msiba huo kama wanavyohudhuria misiba mingine kama ule wa Lowassa na
wanaccm wengine au watu wengine wanaowafahamu kwenye mitaa wanayoishi au popte Tanzania, Msiba wa Mama Mdee hauna Uhusiano wowote na Chadema.Soma pia: Mama mzazi wa Halima Mdee afariki dunia