Freeman Mbowe Ahudhuria Ibada ya Mazishi ya Mama yake Halima Mdee

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe leo 05/08/2024 Amehudhuria ibada ya kuaga mwili wa Mama Theresia, ambaye ni Mama Mzazi wa Halima Mdee, aliyewahi kuwa mbunge wa Chadema kabla ya kuvuliwa uanachama kwa makosa ya Aibu ya Usaliti. Kwa sasa Halima Mdee hana chama ila ni Mbunge wa viti maalum anayemwakilisha Spika wa Bunge.

Mbowe ameambatana na Meya wa Zamani wa Ubungo Boniface Jackob

Katika salamu zake kanisani hapo Mbowe amemuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu, ambaye amemtaja kwamba alikuwa mtu mwema

Viongozi hao wamehudhuria msiba huo kama wanavyohudhuria misiba mingine kama ule wa Lowassa na
wanaccm wengine au watu wengine wanaowafahamu kwenye mitaa wanayoishi au popte Tanzania, Msiba wa Mama Mdee hauna Uhusiano wowote na Chadema.
Soma pia: Mama mzazi wa Halima Mdee afariki dunia
Kwa sasa Halima Mdee hana chama ila ni Mbunge wa viti maalum anayemwakilisha Spika wa Bunge.una tatizo la wivu mbona hatumuoni mbowe kwenye misiba inayokuhusu wewe!
 
Attachments

  • IMG-20200403-WA0003~2.jpg
    IMG-20200403-WA0003~2.jpg
    18.8 KB · Views: 4
Mbona nyumbani Kwa Kina Halima Mdee, palipo kuwa na msiba, Ubungo Kibangu kulipambwa na bendera za CHADEMA.

Kuanzia Barabara Hadi getini, baadhi ya makamanda wa CHADEMA walikuwepo.
 
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe leo 05/08/2024 Amehudhuria ibada ya kuaga mwili wa Mama Theresia, ambaye ni Mama Mzazi wa Halima Mdee, aliyewahi kuwa mbunge wa Chadema kabla ya kuvuliwa uanachama kwa makosa ya Aibu ya Usaliti. Kwa sasa Halima Mdee hana chama ila ni Mbunge wa viti maalum anayemwakilisha Spika wa Bunge.

Mbowe ameambatana na Meya wa Zamani wa Ubungo Boniface Jackob

Katika salamu zake kanisani hapo Mbowe amemuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu, ambaye amemtaja kwamba alikuwa mtu mwema

Viongozi hao wamehudhuria msiba huo kama wanavyohudhuria misiba mingine kama ule wa Lowassa na
wanaccm wengine au watu wengine wanaowafahamu kwenye mitaa wanayoishi au popte Tanzania, Msiba wa Mama Mdee hauna Uhusiano wowote na Chadema.
Soma pia: Mama mzazi wa Halima Mdee afariki dunia
Ni ukomavu mkubwa sana kisiasa Mbowe ameonesha.
 
Kwanini wanachadema wengi sio matured mentally kama mwenyekiti Mbowe ?
 
Back
Top Bottom