Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mbowe Mwenyekiti wa Chama cba Demokrasia na maendeleo amesema pamoja na ubakaji wa demokrasia ambao unaendelea bado ameshangaa kwanini Mahakama inatoa maamuzi ya kukknda chama na bado Mahaka.a ya Rufani i achelewesha maamuzi kuhusu shauri lililoko Mahakamani.
Pamoja na mambo mengine amesema kuna Udanganyifu mkubwa ambao umefanywa na serikali na chama cha mapinduzi kama hila na njama za kuharibu Mchakato mzima wa uchaguzi.
1. Uandikishwaji wa wapiga kura ambao hawawezi kuhakikishwa uhalali wa daftari hilo.
2. Wasimamizi wa Uchaguzi wamelindwa na kanuni inayosema Msimamizi hatashtakiwa wala kuwajibika kwa kosa la jinai litakalotendeka wakati wa Usumamizi wa uchaguzi, hii kanuni ni ya hovyo, ni wizi wa mchana.
3. Engua engua ya wagombea wa chama cha Chadema na upinzani unaoratibiwa na Viongozi wa serikali na chama.
Mh Mbowe amewashukuru viongozi wa Dini wa dini zote waliokosoa na kushauri mapungufu yaliyojitokeza na kwamba wametimiza wajibu wao.