Freeman Mbowe: Aitaka Mahakama ya Rufani Kuzuia Uchaguzi, Demokrasia imenyongwa

Tatizo la mbowe ni kutumikia mabwana wawili angekuwa Kama Lissu chadema ingeshapewa nchi

Ila anafuata Yale Yale ya Lipumba, Mrema, Cheyo, Mbatia na Zitto

Achague moja chama kife au chama awakabithi Lissu, Heche na Lema akae pembeni
 
Ila bwana Ccm ina mambo ya ajabu sana. Na hao majaji ni kweli ni majaji? Nakuwaga sitaki kuamini kitu hicho
Sasa hivi hatuna majaji, tuna majudge kama kina Salama Jabir, Madam Rita na Master J kwenye Bongo Star Search.
 
CHADEMA tuna mwenyekiti wa hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…