Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Ndio najiuliza kwani ni kosa kwa Lissu kuchukua fomu? Ilipaswa apongezwe kwa kutimiza demokrasia. Huko CCM miaka yote mwenyekiti anapita bila kupingwa tukaita udikteta ila chadema tunataka kurudia hilo hilo kwamba Mbowe hapaswi kupingwa.
sijasikia kwamba mbowe “hapaswi kupingwa “ bali nasikia tu kwamba amwachie tundu lisu uwenyekiti na siyo mwingine yoyote bali tundu lisu tu na tifu lote against mbowe liko hapo, ni kwa sababu ameamua kutumia haki yake ya kidemokrasia kugombea uwenyekiti jambo ambalo katiba ya chadema inaruhusu …