Freeman Mbowe ajilaumu kwa yanayomkuta - Absalom Kibanda

Ndio najiuliza kwani ni kosa kwa Lissu kuchukua fomu? Ilipaswa apongezwe kwa kutimiza demokrasia. Huko CCM miaka yote mwenyekiti anapita bila kupingwa tukaita udikteta ila chadema tunataka kurudia hilo hilo kwamba Mbowe hapaswi kupingwa.

sijasikia kwamba mbowe “hapaswi kupingwa “ bali nasikia tu kwamba amwachie tundu lisu uwenyekiti na siyo mwingine yoyote bali tundu lisu tu na tifu lote against mbowe liko hapo, ni kwa sababu ameamua kutumia haki yake ya kidemokrasia kugombea uwenyekiti jambo ambalo katiba ya chadema inaruhusu …
 
Nani kasema Lissu aachiwe? Sijui unaongea pumba gani. Tunajadili statement za Absalom kibanda kuwa Mbowe ajilaumu kwa kutengeneza watu calibre ya Lissu. Ikimaanisha Lissu amekuja kumgeuka aliyemtengeneza. Kwahiyo ndio tunajiuliza kwani kosa gani Lissu kafanya kwa kuchukua fomu ya uenyekiti? Stick kwenye mada
 
Mbowe hata umpambe vp lakini hoja za kumfanya aendelee kuwa mwenyekt zinamkataa, na ndio maana ye mwenyewe yuko kimyaaa ni machawa yake tu yanaruka ruka bila kujibu hoja hata moya!.
Mbinu sijui ubunifu wake vyote vimegota, kijiti apewe mwingine...full stop!!.
 
Hajielewi huyo aliyeandika makala hiyo au either kanunuliwa.
 
We Chawa la Mbowe juzi so Ulisema we hauko upande wowote?
Zama za Mbowe kwa sasa sidhani kama zinakidhi mahitaji ya siasa za upinzani kwa sasa.
Mkuu darasani inaonekana ulikuwa ni Low battery sana 😅😅😅
 
Kwahiyo mbunifu hafai kuachia Uongozi na kushare knowledge kwa watu wengine? Au yeye hadi Kiama kama Paul Biya? Kuna mambo mengine tuone aibu hata kutetea, 20yrs ni mingi sana.
 
Huyo Kibanda ni mpumbavu.
Tangu lini binadamu akawa na mamlaka au hata influence kwenye "uzima " wa mtu?. Huku ni kuvimbiwa.
 

mada in overlap …
 
Kwenye mazishi ya Chacha Wangwe, Mchungaji Chritopher Mtikila alieleza kuhusu Mbowe kuhusika na kifo hicho, akapigwa mawe. Leo maongezi yale yanaonekana yalikua na mantiki
Serikali haijui ila wewe ndiye unajua?.
 
Chawa kwenye ubora wako.
 
mada in overlap …
Wanaotaka Mbowe apishe ni sababu atawapa watu uhuru wa kuchukua fomu. Mfano CCM mwaka huu hakuna atakayechukua fomu zaidi ya Samia sababu ya hofu ya kuonekana msaliti. Ila 2030 Samia atakapokua anatoka utaona watia nia zaidi ya 10 sababu inakua open chance.

Mbowe akipisha wagombea zaid ya 10 watajitokeza.
 
Trashhhhh
 
Hivi kuna watu wanayaamini haya maridhiano kwamba yanakwenda popote pa maana?

Unafanyaje maridhiano na mtu ambaye bado anateka na kuua watu wako?
 
Wakati wa kumshukuru mbowe kwa hayo mazao bado. Subiri awekwe pembeni na wapiga kura ndio mlete ubunifu wake
 
unauliza maswali na kujijibu humo humo, na kosa la mbowe ni lipi hadi mumtake “akabidhi” uwenyekiti bila ya fight kama
bado anaamini anaweza ?
Hana kosa!; ILA KILA ZAMA NA UJINGA WAKE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…