Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa lipi, Kwa porojo?Mungu ibariki CHADEMA
Kwa Wavuvi hakuna WAZEE?Mhhh, wazee wa Mwanza waishi Igombe ? Kiki tu huko kuna wavuvi tu tusidanganye.
Wazee hao watakuwa ni wakununua sio mangosha, sio kila mzee anayeishi Mwanza ni msukuma.Mhhh, wazee wa Mwanza waishi Igombe ? Kiki tu huko kuna wavuvi tu tusidanganye.
Wangefunguliwa kesi ya utakatishaji na uhujumu uchumi fastaAngekuwepo Mwendazake angewalazimisha wazee hao wamkabidhi yeye na sio mpinzani.